Kashfa nzito ndani ya Benki ya NMB

Aise Kweli hii wiki ni ya nmb

Na hongera umefanya vizuri kuanza na neno nmb nimeisoma habari yote bila kuruka hata herufi moja

Inasikitisha sana
 
Acha Kusema Nmb Kasulu Hili Jambo Linakwenda Nmb Nchi Nzima Na Mambo Yataanza Hapa HQ Kuona Uozo Ulipoanzia Hadi Huko
 
Hongera kwa kuwa mkakamavu, na kuusema ukweli

Tatizo umejielezea kitoto sana haikuwa na haja ya kujipambanua wewe kama wewe. Ulitakiwa kuusema ukweli kisha unaenda ngaz za juu kuusemea zaidi.

Mwanamageuzi hutakiwi kuwa hivyo wapasw kujilinda na kujali zaidi usalama wako na familia yako kuliko hisia zako.
 
Bwege wewe, kila kitu unawaza ni elimu tu acheni umbea na majungu mmeajiriwa kufanya kazi kama unaona kampuni inakuboa acha kazi..sio kila kitu mnaanika kwenye mitandao! Pathetic[emoji41]
Eti hili nalo lilienda shule!!
Mtu kuripoti uovu unaona umbea!!
Hujui kuna Whistleblowers Act? Swine ww!!
 
Mkuu walikunyima 10m nini kama wabunge wa sisiem
 
Habari ya mwanao kuumwa haikustahili wepo hapa..
Inastahili kuwepo, maana ndiyo ilisababisha atoke kazini mapema na kukuta hiyo nyomi ya watu wakifuatilia walipa kodi wa mama makel wakifungua mitambi yao.
 
Ingekuwa zama za awamu ya 4, sidhani kama mlalamikaji hata angesumbuka kuandika hivi. Hii ni moja ya mafanikio makubwa ya JPM. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!
 
kwanza nianze kukuoa pole kwa mkasa huo mnzito. Niseme tu,katika mashirika ya umma,serikali haya ndio mambo ya kila siku wafanyakazi wadogo hukutana nayo. Bila shaka hizo ndizo hulka halisi za mwafrika.
naomba sana watz tuachana na haya mambo ya kipuuzi. Maslahi ya nchi mbele kwanza.
Muhongo pale wizara ya nishati ndio haya haya kayafanya. mtu unaleta ukabila wenu na matumbo yenu sehemu ya kazi. Hichi kitu haiwezekani. ikibdi wananchi chukueni maamuzi mkononi mwenu kuliko kwenda mbali sijui raisi sijui polisi hawa wote ndio sehemu ya uwozo huu. Pamoja nakubaliana na raisi Magufuli katika kunyoosha hii nchi.Mimi naamini kuna haja ya kuwachoma watu wakiwa wazima wakipatikana na mambo kama haya ya kishenzi.
 
Kasha nzito ya ATM za NMB tabata, ndo tulipofikia huku sasa.
 



Hii Mimi nimesoma kwenye hiz page za insta nimeona link ndiyo imenileta had hapa

Duh kwa kweli huu sasa ni wiz aisee
 
kupitia hii thread hapa, Jovin Kwanini unataka kumfukuzisha mume wangu kazini? basi sina imani tena na hii bank
[emoji35] now pesa zangu nitazihifadhi kwenye kibubu au chini ya godoro
Hii thread ya kina Jovin imetia doa sana bank na family husika, yani nashangaa uongozi wa NMB hata hawajawatafuta ma moderator na mtoa mada wautoe huu uzi, yani mambo ya aibu kwakeeli kuanikana hivi kaah
 

Hongera. Subiri Utumbuliwe uone. Kibaya zaidi, madhar yake yanaenda mpaka kwa watoto wako.
 
Mkuu sasa umesema una ka biashara pale karibu na ATM, afu ijumaa uliwahi kutoka nadhani hapo identity yako umeshaianika

Mkuu Barafu kaeleza vizuri kuhusu Hilo.
Mtoa mada kawazungusha wahusika(bank)
Kamwe hawata mjua.
 
Hongera. Subiri Utumbuliwe uone. Kibaya zaidi, madhar yake yanaenda mpaka kwa watoto wako.

Mtoa mada NI mzalendo yuko radhi ateseke kusudi WaTanzania kama wewe waishi vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…