Kashfa nzito ndani ya Benki ya NMB

Kashfa nzito ndani ya Benki ya NMB

Hongera kwa kuwa mkakamavu, na kuusema ukweli

Tatizo umejielezea kitoto sana haikuwa na haja ya kujipambanua wewe kama wewe. Ulitakiwa kuusema ukweli kisha unaenda ngaz za juu kuusemea zaidi.

Mwanamageuzi hutakiwi kuwa hivyo wapasw kujilinda na kujali zaidi usalama wako na familia yako kuliko hisia zako.

Ngazi za juu? Hao ndio kaja kuwaanika hapaJF
Halafu umemuhukumu mtoa mada sio mjinga Hivi vielelezo vyote alivyo toa kuhusu familia Na biashara yake unadhani anaweza kujihatarisha?
 
Hawa NMB wasiwe wazembe. waende pale Kimanga. Nimeenda mimi kuchukua hela kwenye ATM na nikakuta hii issue ni kweli. Niliwauliza walinzi, Wote wameshangaa sana walichofanyiwa. Wanasema atm ilikuwa haisumbui kipindi cha wajerumani, imeanza kusumbua sababu ya wakubwa. So huyu whistle blower inabidi alindwpe. Hata na huyo ofisa wa benki wanayetishia kumfukuza naye alindwe. Upuuzi wa nchi za Kiafrika. Teknolojia nzuri wanaletewa, alafu wanawafukuza Wajerumani. Matokeo yake wanachukua mchina. Bwege kabisa. sasa eneo liko gizani. sijui hata walinzi wanakikishiwaje usalama wao. Benki hovyo kabisa...Huyo mkurugenzi wa ugavi inabidi achunguzwe..........Magufuli amlinde huyo Ofisa wanayetaka kumtoa kafara.....hapa mimi issue nadhani ni 10%
 
Huyo mkurugenzi wa NMB bado yuko mpaka sasa hivi? Ilitakiwa awe ameshatimuliwa kazi
 
Mkuu natumai ujumbe wako umefika! Ila mtoto anaendeleaje? Siku nyingine ungejali afya ya mwanao kwanza kabla ya biashara. Ni ushauri tu
 
Kwasasa Mkuu Hapa Jf Ndiyo Mahala Sahihi Ukweli Utajulikana Nawe Upo Salama Usiwe Na Hofu Wa Mashaka Nchi Hii Imefikia Kibaya Sana Yaani Imekufa Siyo Kuoza.
Usalama wako hapa kwa sasa ni mdogo sana
 
Hii bank naona mama imekua ya kijinga kabisa sijui kwa sababu magu kamisha pesa sake bot ndiomana wanakua hivyo
 
Ahsante kwa taarifa za kina Kuhusu pesa zetu tunazozipata baada ya kuumwa miguu kwenye folen!
Hivi NMB ni benk ya umma au ya muwekezaji mbona CEO wake ni mzungu????
 
Taarifa ni nzuri, ila UMEJITOA MUHANGA kwa ishu ya kiboya sana, ambayo wala haikuhusu au kukuumiza ww moja kwa moja. Na kma wakitokea kudeal na ww perpendicular kwa kuwachafua, utajilaumu sn japo umejiona shujaa kwa kuaandika ukweli. Yan umeuza mechi kitoto. Tatizo umedisclose personal issues nyng sana kiasi kwmb wakiamua kukutafuta, unajulikana fasta sn. Kwa mfano tarehe uliyoondoka mapema kazini, huo muda ulioondoka (obvious uliandika barua ya ruhusa au kumuaga bosi wko), biashara yko kuwa karibu na ATM, kusema unakaa Tabata etc.
 
Hapo ni kwenye tenda ya umeme wa ATM tu! Bado kwenye software, mafuta, chai, spea za magari nk. Watanzania wamelaaniwa kabisa! Ndio maana sishangai mabenki kufirisika, maana kila sehemu. Wapinzani wa serikali hii ambao wengi ni sehemu ya wapigaji njoo huku, "eti afisa wa chini"
Huko kwenye Tenda ndani ya mabenki ndipo kuna wizi wa kutisha wengi hutumia makampuni yao kuiba pesa kupitia tenda mbalimbali.
 
Hawa NMB wasiwe wazembe. waende pale Kimanga. Nimeenda mimi kuchukua hela kwenye ATM na nikakuta hii issue ni kweli. Niliwauliza walinzi, Wote wameshangaa sana walichofanyiwa. Wanasema atm ilikuwa haisumbui kipindi cha wajerumani, imeanza kusumbua sababu ya wakubwa. So huyu whistle blower inabidi alindwpe. Hata na huyo ofisa wa benki wanayetishia kumfukuza naye alindwe. Upuuzi wa nchi za Kiafrika. Teknolojia nzuri wanaletewa, alafu wanawafukuza Wajerumani. Matokeo yake wanachukua mchina. Bwege kabisa. sasa eneo liko gizani. sijui hata walinzi wanakikishiwaje usalama wao. Benki hovyo kabisa...Huyo mkurugenzi wa ugavi inabidi achunguzwe..........Magufuli amlinde huyo Ofisa wanayetaka kumtoa kafara.....hapa mimi issue nadhani ni 10%
Aliyewafukuza wajerumani anajulikana akamatwe afikishwe mahakama mara moja ingawa anadai yy yupo juu ya sheria na kiburi cha pesa za Dili za tenda kinamdanganya kuwa atawanunua wote watakaotumwa kumchunguza.
 
Taarifa ni nzuri, ila UMEJITOA MUHANGA kwa ishu ya kiboya sana, ambayo wala haikuhusu au kukuumiza ww moja kwa moja. Na kma wakitokea kudeal na ww perpendicular kwa kuwachafua, utajilaumu sn japo umejiona shujaa kwa kuaandika ukweli. Yan umeuza mechi kitoto. Tatizo umedisclose personal issues nyng sana kiasi kwmb wakiamua kukutafuta, unajulikana fasta sn. Kwa mfano tarehe uliyoondoka mapema kazini, huo muda ulioondoka (obvious uliandika barua ya ruhusa au kumuaga bosi wko), biashara yko kuwa karibu na ATM, kusema unakaa Tabata etc.
inawezekana si kweli mleta habari ni mjanja hawezi kuwa mjinga kiasi hicho atakuwa kaandika hivyo ili kuwapoteza boya wasijue habari zimeletwa na nani, lakini 9 na 10 wajerumani wanaidai NMB na sababu za kung'oa mitambo yao zipo na wenyewe bado wapo Tanzania nina imani uchunguzi huru wa wazi ukifanyika Ukweli utajulikana tu, lakini ukifanyika uchunguzi wa chini kwa chini kisha Rushwa itembee humo tusitegemee kupata jawabu milele, hii ndiyo Tanzania ya maajabu hakuna kisichowezekana wala kushindikana.
 
Mara nyingi wachunguze wakitumwa kuchunguza matukio huja na majibu ya kushangaza sana, hata hili sakata usije kushangaa wanatumwa wachunguzi kisha mtuhumiwa anawaweka mfukoni wakaja na majibu ya kutia hasira zaidi, hii ni Nchi ya vioja hakuna jambo jema humalizwa kwa haki vinginevyo mthuhumiwa awe masikini au awe Bahirii sana.
 
Taarifa ni nzuri, ila UMEJITOA MUHANGA kwa ishu ya kiboya sana, ambayo wala haikuhusu au kukuumiza ww moja kwa moja. Na kma wakitokea kudeal na ww perpendicular kwa kuwachafua, utajilaumu sn japo umejiona shujaa kwa kuaandika ukweli. Yan umeuza mechi kitoto. Tatizo umedisclose personal issues nyng sana kiasi kwmb wakiamua kukutafuta, unajulikana fasta sn. Kwa mfano tarehe uliyoondoka mapema kazini, huo muda ulioondoka (obvious uliandika barua ya ruhusa au kumuaga bosi wko), biashara yko kuwa karibu na ATM, kusema unakaa Tabata etc.

Mkuu huyo jamaa hajajitoa muhanga Ila ametumia "a hat trick" Hata waki fuata nyayo watakutana Na matope.Kwa Mfano tawi la Tabata lina wafanya kazi wangapi? Pili anakibiashara karibu Na banki je Wafanyakazi Wa ngapi kwenye hiyo bank wanabiashara hapo Tabata? Tatu aliomba ruhusa kumhudumia mtoto wake je wangapi hapo bank waliomba ruhusa siku hiyo?
Haya NI maoni yangu
 
NMB walishanipiga laki sita kwenye mobile banking, sina hamu na hii bank
 
Back
Top Bottom