Kashfa nzito ndani ya Benki ya NMB

Kashfa nzito ndani ya Benki ya NMB

Very weird bank aina universal investment policies ata kama decentralisation surely not to cause variation of their services and brand reputation. Na humu ndio tumeweka wazungu kaazi kweli kweli.
 
Mkuu huyo jamaa hajajitoa muhanga Ila ametumia "a hat trick" Hata waki fuata nyayo watakutana Na matope.Kwa Mfano tawi la Tabata lina wafanya kazi wangapi? Pili anakibiashara karibu Na banki je Wafanyakazi Wa ngapi kwenye hiyo bank wanabiashara hapo Tabata? Tatu aliomba ruhusa kumhudumia mtoto wake je wangapi hapo bank waliomba ruhusa siku hiyo?
Haya NI maoni yangu
Gud. Kwa mfano tawi lina wafanyakazi 15, ni ngumu sn mkaomba ruhusa watu 3, hta kma department tofauti, kwa muda mmoja na wote mkapewa. Why? Kwa sababu kazi za benki zinategemeana sn, yan kuna transaction zingine hazitapita kwa mfano customer service manager asipokuwepo. Na mkiwa department moja ndo kabisa hamuwezi kuondoka watatu. Kwa mfano tellers, madirisha ma3 bila mtu ni ngumu, loan officers wa3, haiwezekan mkaondoka wote, back office wa3, hapana. Pia, ni ngumu sn nyie wote wa3, mkawa mnauguliwa na mtoto, mkaomba ruhusa pamoja, mkawa mnakaa Tabata, na mkawa na biashara karibu na ATM. What a coincidence...!!!!
 
Chama tawala shida(tuhuma za wabunge kuhongwa,n.k),watendaji serikalini shida,n.k sijui tukimbilie wapi!!!
Kimbilia ahera mzee. Hufai kuishi duniani. Manake hata basi ukikimbilia upinzani mafisadi wamo watuhumiwa kibao. Akili mukichwa. Wahi ahera
 
Vijana wa IT NMB makao makuu wana njaa sana... Ila kwenye hili sina comment najua hatua zitachukuliwa...
 
Nikichofurahi ni kuwa ktk majibu yao NMB Tanzania hakuna walipobisha wala kukanusha,zaidi ya kusema wamezipokea tuhuma na watazifanyia kazi.Hii ni maana kuwa sasa habari hizi ni za kweli na wanachofanya ni kuchunguza tu.Hongera mtoa maada.
 
Mnb imejaa madudu....nilisha fungaga Account yangu kitambo
 
Miaka minne iliyopita nliomba kazi NMB...nikafaulu interview ila wakataka niwatoe laki 3 ili wanipe mkataba(jamaa walikua wanazikusanya kwa watahiniwa)...issue ikabuma...ila Mungu si athumani mlango mmoja unafungwa mwingine unafunguliwa...
Haka ka bank kameoza...
 
Haya unayoyaongea mleta mada ndiyo yaliyofanya mashirika ya umma yote kufa tokea enzi za Nyerere. Ubinafsi.

Watumbuliwe tu.

Nnauhakika Rais au wasaidizi wake wamekusoma na TAKUKURU wanakusoma na mawaziri husika wanakusoma na hatua za haraka zitachukuliwa.

Uozo huo.
Huo ndio uozo unaolelewa na serikali ya CCM miaka na miaka
 
Nina issue na hawa jamaa. Hii ndio Benki mbavu kuliko zote humu nchini. Urasimu na ufisadi umezidi pale makao makuu
 
Chama tawala shida(tuhuma za wabunge kuhongwa,n.k),watendaji serikalini shida,n.k sijui tukimbilie wapi!!!
Kijana hili la Ben unafurahia? tutumie taarifa hizi kuanza upelelezi ikitokea 'makamanda' na wenzake wanahusika tuwasulubu tu hamna jinsi.
 
Ndugu wana Jamiiforums,

Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya utendaji mliouona kuwa si wa kuridhisha hasa kwa maendeleo ya benki yenu pendwa, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko hayo na kama ikibainika kuna watu kwa makusudi wamefanya hayo, tunawahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi yao na wafanyakazi wengine wenye tabia kama hizo.

Ndugu wanajukwaa, NMB inajipambanua kwa kusimamia maadili mojawapo ikiwa ni uaminifu kwa wafanyakazi wake.

NMB pia inapenda kuwahakikishia wateja na jamii kwa ujumla kwamba itaendelea kusimamia sera zote za benki ikiwa ni pamoja na kutovumilia wafanyakazi wasio waadilifu.

Endapo kutatokea umepata huduma isiyoridhisha au ufanyajikazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:

1. Kupitia tovuti: http://www.nmbtz.com
2. Kupitia e-mail maalumu: whistleblower@nmbtz.com
3. Kwa Posta – Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:
Afisa Mtendaji Mkuu (Bahasha iandikwe “Siri”)
Makao Makuu ya NMB,
P. O. Box 9213,
Azikiwe/Jamhuri Street,
Dar es Salaam, Tanzania.

4. Au kwa kupiga simu zifuatazo:
0658 751 000 Tigo
0779 751 000 Zantel
0685 751 000 Airtel
0800 751 000 Vodacom
Mimi kama mwana jamii forums na mteja wa beki ya NMB, naomba usisahau kuleta mrejesho hatua mtakazo zichukua ikiwa mtabaini wahusi wa tukio hili lililo ripotiwa na mzalendo. Na tunatarajia mtamlinda msiri huyu mzalendi alie leta taarifa hii.
 
Back
Top Bottom