Amefanya vizuri sana kutumia hizo picha kama ni za Kenya kwa sababu ni majirani zetu na wanashirikiana na Serikali hii kuliko kama angetumia picha za Japan, UK Germany au mahali popote mbali ya Tanzania. Good work Dr Abasi maana unaonyesha ukomavu wako sio tu kwa kujali uhusiano mzuri na majirani zetu. (Message sent and delivered)
Ni ujinga wa hali ya juu sana
Usipoteze muda kupinga vitu ambavyo huwezi kuvibadili we chiziTafsiri ya ujinga ulio tukuka
Hivi huko Rwanda kuna nini haswa SGR italeta tija kama ikienda Kigoma hio, huko Rwanda ni kuifaidisha Rwanda maana wao ndo watakua wanapeleka mizigo DRC akili za hawa jamaa sijui zikoje
Huko ni kudanganya wananchi kwa kutumia fotoshopAmetumia nchi jirani kuonyesha inawezekana