Serikali, tenganisha TRC na SGR kupata tija

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Sep 20, 2021
3,214
3,587
Naishauri serikali ipeleke muswada wa sheria Bungeni kutenganisha TRC kuwa mashirika mawili ya;

1. TRC kwa ajili ya reli ya MGR (Meter Gauge Railway).

2. Shirika lingine kwa ajili ya reli ya SGR (Standard Gauge Railway).

TAZARA iendelee kubaki kwa ajili ya reli ya CGR (Cape Gauge Railway).

Tanzania ina aina 3 za geji (gauge) ya reli i.e. MGR, SGR na CGR.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom