Kashfa: Msemaji wa serikali atumia picha za SGR ya Kenya

Kashfa: Msemaji wa serikali atumia picha za SGR ya Kenya

Huyo aliyefanya hii copy and paste ni PhD holder

Yote tisa nadhani sio mbaya sana maana mumezoea kutumia mapicha ya bullet trains za ulimwengu wa kwanza, bora hivi mnakaribia uhalisia.
 
Abbas ni tapeli kama Magufuli mwenyewe wanajikweza kwa vitu sivyo
 
Usiwe na kasumba. Kenya tulichopigia kelele ni kutangaza kwamba mlima Kilimanjaro upo Kenya. Unaweza kutuwekea hiyo hati miliki ya picha kutoka Kenya? Waambie Wakenya wamshitaki kwa sababu wana haki miliki ya hiyo picha au wewe ''Chakaza'' na jina lako la bandia wasaidie maana huo ni mpunga tosha tu.
Wekeni na picha ya Kenyatta mkisema "kiongozi mwenye mafanikio Tanzania"!
Huna haja ya kupanic, hadaa yenu kwa wananchi imebumba na mumemuaibisha huyo muliyeweka picha yake. Au ndio kawatuma?
 
Wacha watumie picha za Mali yetu we are the big brother so copying and pasting is part of their growth.
 
Ngoja nami nikaufukue ule uzi wa nyie kukopi picha za BRT DART.
 
Kwa ofisi kubwa kama ya msemaji wa serikali anadiriki vipi kutumia picha za SGR ya kenya kuonyesha SGR ya Tanzania?

Huyu ana PHD sijui ya nini?

Watanzania sio wajinga kama ameshindwa kupata picha zinazotushawishi Watanzania sio busara na sio haki kabisa kutuwekea picha za reli ya majirani zetu.

Ni sawa na kupeperusha bendera ya kenya kwenye gari la Rais wa Tanzania.

Hapa alikua anazungumzia kwa.ba ukarabati wa reli ya zamani unaendelea.

Tunaofisi ya msemaji wa serikali ya hovyo kuwahi kutokea.

Wenye uelewa mzuri ndio wananielewa kwanini nimeita hii ni kashfa.

View attachment 1285919
Mimi nahisi huu ni mchoro tu kuonyesha mwonekano wake. Ni sawa na kupewa mchoro wa jinsi nyumba unayotaka kujenga itakavyoonekana baada ya kukamilika. Hayo ni mawazo yangu lakini.
 
Amefanya vizuri sana kutumia hizo picha kama ni za Kenya kwa sababu ni majirani zetu na wanashirikiana na Serikali hii kuliko kama angetumia picha za Japan, UK Germany au mahali popote mbali ya Tanzania. Good work Dr Abasi maana unaonyesha ukomavu wako sio tu kwa kujali uhusiano mzuri na majirani zetu. (Message sent and delivered)
Utetezi wa kijinga kuwahi kutokea JF!
 
Mkuu sisi hatuangalii tija, tunajenga tuu.... Hata ndege tunanunua tuu hata kama hailipi.. [emoji23] [emoji23]
Hivi huko Rwanda kuna nini haswa SGR italeta tija kama ikienda Kigoma hio, huko Rwanda ni kuifaidisha Rwanda maana wao ndo watakua wanapeleka mizigo DRC akili za hawa jamaa sijui zikoje
 
Amefanya vizuri sana kutumia hizo picha kama ni za Kenya kwa sababu ni majirani zetu na wanashirikiana na Serikali hii kuliko kama angetumia picha za Japan, UK Germany au mahali popote mbali ya Tanzania. Good work Dr Abasi maana unaonyesha ukomavu wako sio tu kwa kujali uhusiano mzuri na majirani zetu. (Message sent and delivered)

Acha utoto dogo.
 
Ingependeza zaidi ameitumia picha hiyo kwa muktadha gani? Je alisema hii ndiyo SGR ya Tanzania au alikuwa anasema nini? Bila kujua hilo twaweza kumuonea baba wa watu bahati mbaya hilo silioni kwenye maelezo yako mkuu.
Kwani hawana wataalamu wa photoshop? Wangetengeneza picha zisizoakisi nchi yoyote (labda kama wangeamua kuweka meneo ya tz) hii ya kuchukua picha za nchi jirani ikitumika sivyondivyo ni hatari. Mbona wakenya wakitumia mlima Kilimanjaro kutangaza utalii tunalia?
 
You need deliverance my brother. La kukosoa likosolewe. SGR yetu imefika zaidi ya moro kuna haja gan kutumia picha za kenya? Nahisi hujawahi kuvuka
Mpaka wa [emoji1241]
Ya kwetu bado sana, msije kushangaa inafika 2025 jiwe anasepa na SGR hata Dar-Moro haijakamilika.
 
Amefanya vizuri sana kutumia hizo picha kama ni za Kenya kwa sababu ni majirani zetu na wanashirikiana na Serikali hii kuliko kama angetumia picha za Japan, UK Germany au mahali popote mbali ya Tanzania. Good work Dr Abasi maana unaonyesha ukomavu wako sio tu kwa kujali uhusiano mzuri na majirani zetu. (Message sent and delivered)
Akili yako ni kiporo, ni sawa na kupiga picha na mke wa jirani yako ambae ni mzuri alafu uko post, huku umeandika,"Nakupenda sana mke wang" wakati tunajua sio wako, huo ni UFALA WA KIJANA CHA LAMI, usitetee usngerema
 
sio mbaya mbona kenya huwa wanatumia mlima Kilimanjaro?
 
Obviously kila mtu ana jinsi anavyofikiria lakini facts huwa hazijifichi, kitu ambacho mtu anaweza kusema ni kwamba hapakuwa na caption ya kusema picha hii ni ya mahali fulani kule Kenya au popote ilipochukuliwa kinachoonekana ni Maelezo TV. (by any standards hakuna upotoshaji kwa sababu aliyeweka inaonyesha kabisa amei-copy kwenye hiyo TV.

Lakini kutokana na itikadi au maagizo kutoka kwa chama cha Chadema au maagizo ya kupinga kila kitu basi imekuwa nongwa. Hakuna hata nchi moja ulimwenguni ambayo imeendelea kwa kuwadekeza wapingaji. Wapingaji walikuwepo hata wakati wa Mwalimu ambaye walisema haambiliki lakini leo hii ndio hao hao ambao wapo mstari wa mbele kusema hata mwalimu alifanya hiki na kile etc. Tuache siasa za maji taka na kuangalia mwelekeo wa taifa. Hoja kama hizi ni potofu ambazo zinapoteza muda wa kujadili mambo ya msingi ya kuinua hali ya Maisha ya Watanzania. Chadema wajifunze siasa sio kuendekeza ubakwaji wa sera ambazo wanahubiri. Yesu alipigwa mawe itakuwa Serikali ya awamu ya 5? Je, tunataka kurudi wakati wa JK? Au Mkapa? (awamu ziizogubikwa na rushwa

Leo hii ukiuliza matumizi ya kwenye chama chao kuna hadithi ndefu tu, sasa kwa muktada huo wanawezaje kusaidiwa kufanya upinzani wa kweli? Kashfa zinazowakabili watu kama Mbowe kujitajirisha yeye binafsi zinawatia wasi wasi Watanzania. Mfano mwingine Zito Kabwe mwenye chama cha mfukoni etc. Tofauti ipo wapi hapo? Lingine Chadema inaonekana kama Chama cha Kikabila, Je, wale ambao sio Wachaga hawastahili kuchukua uongozi kwenye chama hiki? Je, Chadema wamechukua au wanachukua hatua gani kufafanua haya maswali? Tuwe wakweli na kuweka ukweli bayana, Chadema mna mtihani mkubwa sana kuweza kuaminika na Watanzania wengi.

cc Tabutupu;empty mind;tindo;emalau;Chakaza;Lokissa;Kalamu1
 
Kwa ofisi kubwa kama ya msemaji wa serikali anadiriki vipi kutumia picha za SGR ya kenya kuonyesha SGR ya Tanzania?

Huyu ana PHD sijui ya nini?

Watanzania sio wajinga kama ameshindwa kupata picha zinazotushawishi Watanzania sio busara na sio haki kabisa kutuwekea picha za reli ya majirani zetu.

Ni sawa na kupeperusha bendera ya kenya kwenye gari la Rais wa Tanzania.

Hapa alikua anazungumzia kwa.ba ukarabati wa reli ya zamani unaendelea.

Tunaofisi ya msemaji wa serikali ya hovyo kuwahi kutokea.

Wenye uelewa mzuri ndio wananielewa kwanini nimeita hii ni kashfa.

View attachment 1285919
Mbona na wewe kwenye maelezo yako umelikoroga umezidi tu kututoa relini?

Wakati kinachoelezwa ni ujenzi wa Sgr kuanzishwa tokea Mwanza, wewe unasema ukarabati wa Mtr!

Ukitaka kukosoa jipange.
 
Back
Top Bottom