Kashfa: Msemaji wa serikali atumia picha za SGR ya Kenya

Fungua huu Uzi utaona kuwa hawa jamaa ni kawaida yao

Na Hii sio Mara ya kwanza, nilisharipoti Hii kitu kipindi flani na alitumia Mwigulu Nchemba na Nape Nnauye na huyo m'mbea wa serikali. Ngoja nitaitafuta niiweke hapa
 
Kwa ofisi kubwa kama ya msemaji wa serikali anadiriki vipi kutumia picha za SGR ya kenya kuonyesha SGR ya Tanzania?

Huyu ana PHD sijui ya nini?

Watanzania sio wajinga kama ameshindwa kupata picha zinazotushawishi Watanzania sio busara na sio haki kabisa kutuwekea picha za reli ya majirani zetu.

Ni sawa na kupeperusha bendera ya kenya kwenye gari la Rais wa Tanzania.

Hapa alikua anazungumzia kwa.ba ukarabati wa reli ya zamani unaendelea.

Tunaofisi ya msemaji wa serikali ya hovyo kuwahi kutokea.

Wenye uelewa mzuri ndio wananielewa kwanini nimeita hii ni kashfa.

View attachment 1285919
HOPE KEENYA WASITUFIKISHE ICC TU
 
Kumbe ni mzoefu wa kuedit

Halafu kila Jambo linalofanyika kwenye nchi zingne wanakimbia kusema kuwa wamemfuata magufuli eti wamemuiga magufuli, hivi hawa watendaji wa serikali ambao wamewekwa Kama kakikundi hivi wametokea wapi? Mbona wanaushamba uliopitiliza? Hivi hawa kwa nini wote wamefanana hivyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nahisi huu ni mchoro tu kuonyesha mwonekano wake. Ni sawa na kupewa mchoro wa jinsi nyumba unayotaka kujenga itakavyoonekana baada ya kukamilika. Hayo ni mawazo yangu lakini.
Mchoro huonyesha ni namna ujenzi utafanyika na namna kile kinachojengwa kitaonekana baada ya ujenzi huo, swali ni kwamba kuna uhusiano gani kati ya kilichokuwa kinazungumzwa na hiyo reli ya Kenya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama haikunyimi kupata ugali wako wa kila siku basi achana nayo tu haina haja kuyaweka kichwani.

Back
Top Bottom