Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,129
- 12,704
Tena Zitto jizi sana. Yaani anautajiri usiookuwa na chanzo. Nadhani wazee wa chini ya kapeti lazima walale naye mbele kwa mbele na ndipo atakapojua kuwa ideology za mwalimu waliishi kwa nadharia ila Dkt Magufuli anaziishi kwa vitendo. Lazima wanafiki wote watafutwe popote walipoKama kichwa cha habari kinavyosomeka, sasa kila jambo lipo wazi kuwa tunaibiwa na tumeibiwa vya kutosha.
Napendekeza wafuatao waingizwe kwenye kurunzi la uchunguzi kwa sababu walisimama kidete kupinga hili jambo na kubeza uundwaji wa kamati.
- Zitto Zuberi Kabwe na wanasiasa waliotetea hujuma hii kubwa
- Vyombo vya habari (wachambuzi na waandishi wa makala)
- Richard Kasesera
- Aliyekuwa Katibu Nishati na Madini (Jairo)
- Mawaziri waliopitia wizara hii wote kuanzia 2005
- Ongezea orodha
- Dalali Kafumu