Kashfa Mchanga wa madini; wafuatao nao wachunguzwe

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, sasa kila jambo lipo wazi kuwa tunaibiwa na tumeibiwa vya kutosha.

Napendekeza wafuatao waingizwe kwenye kurunzi la uchunguzi kwa sababu walisimama kidete kupinga hili jambo na kubeza uundwaji wa kamati.
  1. Zitto Zuberi Kabwe na wanasiasa waliotetea hujuma hii kubwa
  2. Vyombo vya habari (wachambuzi na waandishi wa makala)
  3. Richard Kasesera
  4. Aliyekuwa Katibu Nishati na Madini (Jairo)
  5. Mawaziri waliopitia wizara hii wote kuanzia 2005
  6. Ongezea orodha
  7. Dalali Kafumu
Tena Zitto jizi sana. Yaani anautajiri usiookuwa na chanzo. Nadhani wazee wa chini ya kapeti lazima walale naye mbele kwa mbele na ndipo atakapojua kuwa ideology za mwalimu waliishi kwa nadharia ila Dkt Magufuli anaziishi kwa vitendo. Lazima wanafiki wote watafutwe popote walipo
 
Wale wote waliokuwa wanapinga maazimio ya Bunge kutekelezwa...ie wabunge wa ........
 
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, sasa kila jambo lipo wazi kuwa tunaibiwa na tumeibiwa vya kutosha.

Napendekeza wafuatao waingizwe kwenye kurunzi la uchunguzi kwa sababu walisimama kidete kupinga hili jambo na kubeza uundwaji wa kamati.
  1. Zitto Zuberi Kabwe na wanasiasa waliotetea hujuma hii kubwa
  2. Vyombo vya habari (wachambuzi na waandishi wa makala)
  3. Richard Kasesera
  4. Aliyekuwa Katibu Nishati na Madini (Jairo)
  5. Mawaziri waliopitia wizara hii wote kuanzia 2005
  6. Ongezea orodha
7) Raisi aliyekuwepo mwaka huo
8) Chama tawala cha wakati huo
 
Namuunga mkono saana Mh.Rais katika hili huku nikipendekeza katiba mpya itakayowabana marais wastaafu kufikishwa mahakamani....pia VYETI..VYETI...VYETI....watumbuliwe.
 
Raisi achunguze mabox mangapi yamesafirishwa toka migodini hadi afrka kusini ba kwengineko direct kwani kia box lilikuwa na dhahabu kilo 25
 
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, sasa kila jambo lipo wazi kuwa tunaibiwa na tumeibiwa vya kutosha.

Napendekeza wafuatao waingizwe kwenye kurunzi la uchunguzi kwa sababu walisimama kidete kupinga hili jambo na kubeza uundwaji wa kamati.
  1. Zitto Zuberi Kabwe na wanasiasa waliotetea hujuma hii kubwa
  2. Vyombo vya habari (wachambuzi na waandishi wa makala)
  3. Richard Kasesera
  4. Aliyekuwa Katibu Nishati na Madini (Jairo)
  5. Mawaziri waliopitia wizara hii wote kuanzia 2005
  6. Ongezea orodha

Chama cha mazombi pale Lumumba pia
 
Zitto nimegundua ni mnafiku sn nldhan cdm walimuonea kumbe ni ndumila kuwili ana maslahi bnafsi. Hafai hata kidogo!

Utagunduaje kitu kilichojulikana na kilishasemwa miaka kadhaa iliyopita? Huyu Zitto ni wakuogopwa kwa unafiki kama CCM, hata Magu alisha wastukia zamani ndiyo maana anasemaga hii ni serikali yake.
 
Kwa maana hiyo na JPM achunguzwe miaka yote makontena yalipita kwenye barabara zake alilitambua hili tangu awali...
Na jaribu kuota tu.
 
Back
Top Bottom