Kashfa Mchanga wa madini; wafuatao nao wachunguzwe

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, sasa kila jambo lipo wazi kuwa tunaibiwa na tumeibiwa vya kutosha.

Napendekeza wafuatao waingizwe kwenye kurunzi la uchunguzi kwa sababu walisimama kidete kupinga hili jambo na kubeza uundwaji wa kamati.
  1. Zitto Zuberi Kabwe na wanasiasa waliotetea hujuma hii kubwa
  2. Vyombo vya habari (wachambuzi na waandishi wa makala)
  3. Richard Kasesera
  4. Aliyekuwa Katibu Nishati na Madini (Jairo)
  5. Mawaziri waliopitia wizara hii wote kuanzia 2005
  6. Ongezea orodha
Kwanini Kasesera achunguzwe ?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, sasa kila jambo lipo wazi kuwa tunaibiwa na tumeibiwa vya kutosha.

Napendekeza wafuatao waingizwe kwenye kurunzi la uchunguzi kwa sababu walisimama kidete kupinga hili jambo na kubeza uundwaji wa kamati.
  1. Zitto Zuberi Kabwe na wanasiasa waliotetea hujuma hii kubwa
  2. Vyombo vya habari (wachambuzi na waandishi wa makala)
  3. Richard Kasesera
  4. Aliyekuwa Katibu Nishati na Madini (Jairo)
  5. Mawaziri waliopitia wizara hii wote kuanzia 2005
  6. Ongezea orodha
Benjamin Mkapa
 
wanabid wachunuguzwe wote waliotia mkono wa sahihi na sio mikono yao tu bali mikataba yote ya madini...we have to deal with them in total that is main contents ya hasara hz here hon.Magufuli dealt with book cover only lets open it to know what is within it.
 
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, sasa kila jambo lipo wazi kuwa tunaibiwa na tumeibiwa vya kutosha.

Napendekeza wafuatao waingizwe kwenye kurunzi la uchunguzi kwa sababu walisimama kidete kupinga hili jambo na kubeza uundwaji wa kamati.
  1. Zitto Zuberi Kabwe na wanasiasa waliotetea hujuma hii kubwa
  2. Vyombo vya habari (wachambuzi na waandishi wa makala)
  3. Richard Kasesera
  4. Aliyekuwa Katibu Nishati na Madini (Jairo)
  5. Mawaziri waliopitia wizara hii wote kuanzia 2005
  6. Ongezea orodha
Dr /Prof Kafumu mbunge wa Igunga hapo nyuma alikuwa kamishna wa madini ,huyu alitoa mapovu mengi wakati mh raisi aliposimamisha usafirishwaji wa madini na pia akjitia sintofahamu na yule dada wa mwanamke na maendeleo ,huyu Kafumu ndie wa kuanza nae
 
Katika hili JPM anaingia kwenye orodha viongozi wazalendo wa kweli wa nchi hii! Kwenye orodha ya viongozi wazalendo wa kweli wa kwanza ni Mwalimu Nyerere wa pili ni Sokoine wa tatu ni JPM! Sikumbuki kama kuna wa NNE! Karibuni tukumbushane kama kuna wengine!
Nakuunga mkono. Mh Magufuli ni kiongozi Mzalendo wa kweli. Tunaamini kuwa HAIJATOKEA WALA HAITATOKEA KUPATA KIONGOZI MZURI KAMA MAGUFULI. EEEE MUNGU TUNAOMBA UMLINDE NA UMFINYANGE KAMA UPENDAVYO.
 
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, sasa kila jambo lipo wazi kuwa tunaibiwa na tumeibiwa vya kutosha.

Napendekeza wafuatao waingizwe kwenye kurunzi la uchunguzi kwa sababu walisimama kidete kupinga hili jambo na kubeza uundwaji wa kamati.
  1. Zitto Zuberi Kabwe na wanasiasa waliotetea hujuma hii kubwa
  2. Vyombo vya habari (wachambuzi na waandishi wa makala)
  3. Richard Kasesera
  4. Aliyekuwa Katibu Nishati na Madini (Jairo)
  5. Mawaziri waliopitia wizara hii wote kuanzia 2005
  6. Ongezea orodha
Dr, kafumu kamishina wa zamani wa madini
 
Makatibu Wakuu wote hujamtaja Maswi
 
Back
Top Bottom