Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,253
- 36,508
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, sasa kila jambo lipo wazi kuwa tunaibiwa na tumeibiwa vya kutosha.
Napendekeza wafuatao waingizwe kwenye kurunzi la uchunguzi kwa sababu walisimama kidete kupinga hili jambo na kubeza uundwaji wa kamati.
Napendekeza wafuatao waingizwe kwenye kurunzi la uchunguzi kwa sababu walisimama kidete kupinga hili jambo na kubeza uundwaji wa kamati.
- Zitto Zuberi Kabwe na wanasiasa waliotetea hujuma hii kubwa
- Vyombo vya habari (wachambuzi na waandishi wa makala)
- Richard Kasesera
- Aliyekuwa Katibu Nishati na Madini (Jairo)
- Mawaziri waliopitia wizara hii wote kuanzia 2005
- Ongezea orodha