Kashfa Mchanga wa madini; wafuatao nao wachunguzwe

Kwanini tusibadirishe katiba Huyu Raisi Magu aongoze miaka 50?

Kila kitu kinawezekana. Lakini wanaojiita watoto waliozaliwa CCM wengi wao walikifanya na kukitumia chama hiki kujitajirisha kwa manufaa yao, na pamoja ya kutumia jina la baba wa Taifa kujikinga na wizi wao, Wakati baba wa Taifa ameondoka mikono mitupu, hawafai kabisa. Katiba ibadilishwe na wa wao tunataka tuwaone kizimbani. Wamefanya madhambi Mengi siyo ya kusamehewa kwa kutumia katiba.
 
Samahani nilikuwa nafikiri nampa taarifa mtu mwenye uelewa, kumbe hata hujui Mh. Tundu Lissu anaongelea nini... endelea na umbumbumbu, CCM imewaharibu akili, kwaheri.

Nakupongeza kwa kuliona hilo na kuwa unapoteza muda kujibishana na mtu ambaye hajafungua ufahamu wake ili kuelewa ukweli bali kajifunga katika kile apendacho.
Hawa ndio wale Prof Kabudi zamani alikuwa anasema jina fulani kwani hawako tayari kujifunza mapya.
 
Katika hili JPM anaingia kwenye orodha viongozi wazalendo wa kweli wa nchi hii! Kwenye orodha ya viongozi wazalendo wa kweli wa kwanza ni Mwalimu Nyerere wa pili ni Sokoine wa tatu ni JPM! Sikumbuki kama kuna wa NNE! Karibuni tukumbushane kama kuna wengine!
Kwa uzalendo upi? Kwakukamata mapanki huku minofu ikienda?
 
Back
Top Bottom