MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 27,584
- 30,044
Huwezi kuijua CDM bila CCM pia kumbuka ACT;- TAIFA KWANZA...hivi nyie ACT na CCM undugu wenu ni wa damu au wakukutana mjini?!
Huwezi kuijua CDM bila CCM pia kumbuka ACT;- TAIFA KWANZA...hivi nyie ACT na CCM undugu wenu ni wa damu au wakukutana mjini?!
Mtukufu Rais alisema "Mtumishi wa UMMA ukifanya makosa usitegemee kuhamishwa kituo cha kazi, utafukuzwa (nitalala nao), naona sasa kauli yake inatimia.Ikigundulika hao jamaa wamepiga pesa za umma fukuzia mbali huko.
Sio fukuzia mbali..filisi na weka segerea..wanakula raha wakati wananchi wanaishi kwa shida!
huko mimi ndiyo nimechoka ukiwa mbagala dar ukanunua umeme kwa mtandao wa sh.10,000 utapata units 77.7 na ukiwa morogoro- misufini kwa ela hiyo unapata units 28.4 wakati makato ni yale yale, tarif ni ile ile (moja) na mtandao uliotumia kununulia ni ule ule...!
============================
hivi huyo robert nyoni ana uhuhusiano wa kiundugu na blandina ('irion' lady)...!?
ununuzi wa umeme kwa sh 10000 kwa maeneo tofauti hujachunguza vizuri. Mi nauza umeme. Hizo ni mita 2 mbili tofauti na tarrif tofauti. Za kwanza ipo kundi la watumiaji walio ondolewa service charge, wanauziwa bei ndogo, wanapata unit 75 kwa sh 9150.
Mkuu umetisha
Ahsante sana. Magufuli katika moto wake
Mzee mwenzangu ivii ww unafanya kazi saa ngapi..kila uzi humu jf naliona jina lako likiashilia ulikuwepo kwenye uzi husika na unamwaga na neno lako la hekima..swali langu ni je? Kazi unafanya saa ngapi?