Kashfa Bandarini: Wafanyakazi watatu wa TRA wasimamishwa kazi kupisha uchunguzi

Mzee mwenzangu ivii ww unafanya kazi saa ngapi..kila uzi humu jf naliona jina lako likiashilia ulikuwepo kwenye uzi husika na unamwaga na neno lako la hekima..swali langu ni je? Kazi unafanya saa ngapi?

kazi ipi wakati hata jf ni ofisi ilokamilika
 
Kafanyaje sasa magufuli funguka bwana

Ishu ilikuwa hiv.....alipoenda PM pale bandarini...baada ya bandari na TRA kukubali mapungufu juu ya yale makontena yaliyopotea....rais alimsimamisha mkutugenzi mkuu wa TRA Rished Bade.....halaf waziri mkuu nae akadili na walio saiz yake.......akawasimamisha baadhi na hawa akawa ameamuru wapelekwe mikoani........kwenye jukwa humu tukapiga kelele kuwa huo siyo mfumo wa rais magufuli huku tukijua kuwa aliyefanya kosa hilo ni PM lakin sisi tukam address Mr Ptesident mwenyewe huku tukimkumbusha ahadi zake za dhati alizotupa wakati wa kampeni ambazo kiukweli ndo zilisababisha kumpigia kura.........sasa according to mwananchi ya Jpili wale wandugu hawatahamishwa tena bali nao wameamuliwa kusimamishwa kazi kupita uchinguzi......thats why unauons uzi huu...hope nimejaribu summary
 
Upotevu wote huu umetokea ICD na mkuu wa hicho kitengo alikuwa Eliakim Mrema huyu ndo kigogo wa sakata lote, hawa wengine wamejumulishiwamo tu.
 
Safiiiiiiiiiiiiii Magufuli, moyo wangu ushakukubali... Ur a man of ur words... walking the talk, haya ndio wananchi wanataka kuyaona, na Mungu azidi kukulinda Rais Magufuli... kwani hata Upinzani wangechukua nchi wangefanya haya kwa WALA RUSHWA NA WALIO TIA HASARA KUBWA NCHI...!!
 
Back
Top Bottom