MotoYaMbongo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,146
- 884
Habari za uhakika kutoka Urambo zinasema kuwa baada ya Sitta kutoswa uspika, aliekuwa diwani wa urambo mjini(CCM) ndg Ali Mwiniko amefanya sherehe kubwa jana kufurahia anguko la bwana Sitta. Sababu ni kwamba, anamshutumu Sitta kuwa ndie aliechangia CCM kupoteza kata tano ktk uchaguzi wa mwaka huu ambapo zimekwenda upinzani ikiwamo pia kata ya Urambo mjini ambapo diwani huyo aliangushwa vibaya na Mgombea wa Chadema aitwaye Amatusi Ilumba. Diwani huyo ana bifu kubwa sana na Sitta. Habari ndio hiyo kutoka Urambo.
alikuwa anamuonea wivu tu huyo hana lolotehabari za uhakika kutoka urambo zinasema kuwa baada ya sitta kutoswa uspika, aliekuwa diwani wa urambo mjini(ccm) ndg ali mwiniko amefanya sherehe kubwa jana kufurahia anguko la bwana sitta. Sababu ni kwamba, anamshutumu sitta kuwa ndie aliechangia ccm kupoteza kata tano ktk uchaguzi wa mwaka huu ambapo zimekwenda upinzani ikiwamo pia kata ya urambo mjini ambapo diwani huyo aliangushwa vibaya na mgombea wa chadema aitwaye amatusi ilumba. Diwani huyo ana bifu kubwa sana na sitta. Habari ndio hiyo kutoka urambo.
Mgombea wa Chadema aitwaye Amatusi Ilumba. Diwani huyo ana bifu kubwa sana na Sitta. Habari ndio hiyo kutoka Urambo.
Na ARUSHA,MWANZA,MBEYA nk SITTA alisababisha majimbo kupotea?Alitakiwa kumlaumu JK sio SITTA...kama SITTA angekuwa tatizo basi na yeye SITTA angepoteza jimbo....Dunderheads
I think JF should install anticrap kwenye forum ili kuchuja some of these nonsense
I think JF should install anticrap kwenye forum ili kuchuja some of these nonsense
mkuu inaonekana umesahau kuwa.." Kwenye msafara wa mamba na kenge wamo"
Sina ushabiki tena na siasa za bongo, hazijakomaa kabisa
Sina ushabiki tena na siasa za bongo, hazijakomaa kabisa