Kasheshe urambo

MotoYaMbongo

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,069
2,000
Habari za uhakika kutoka Urambo zinasema kuwa baada ya Sitta kutoswa uspika, aliekuwa diwani wa urambo mjini(CCM) ndg Ali Mwiniko amefanya sherehe kubwa jana kufurahia anguko la bwana Sitta. Sababu ni kwamba, anamshutumu Sitta kuwa ndie aliechangia CCM kupoteza kata tano ktk uchaguzi wa mwaka huu ambapo zimekwenda upinzani ikiwamo pia kata ya Urambo mjini ambapo diwani huyo aliangushwa vibaya na Mgombea wa Chadema aitwaye Amatusi Ilumba. Diwani huyo ana bifu kubwa sana na Sitta. Habari ndio hiyo kutoka Urambo.
 
MTWA

JF-Expert Member
Aug 5, 2009
1,155
1,250
Sina ushabiki tena na siasa za bongo, hazijakomaa kabisa
 
Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,830
2,000
Habari za uhakika kutoka Urambo zinasema kuwa baada ya Sitta kutoswa uspika, aliekuwa diwani wa urambo mjini(CCM) ndg Ali Mwiniko amefanya sherehe kubwa jana kufurahia anguko la bwana Sitta. Sababu ni kwamba, anamshutumu Sitta kuwa ndie aliechangia CCM kupoteza kata tano ktk uchaguzi wa mwaka huu ambapo zimekwenda upinzani ikiwamo pia kata ya Urambo mjini ambapo diwani huyo aliangushwa vibaya na Mgombea wa Chadema aitwaye Amatusi Ilumba. Diwani huyo ana bifu kubwa sana na Sitta. Habari ndio hiyo kutoka Urambo.

Udaku at its most
 
NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,510
1,195
habari za uhakika kutoka urambo zinasema kuwa baada ya sitta kutoswa uspika, aliekuwa diwani wa urambo mjini(ccm) ndg ali mwiniko amefanya sherehe kubwa jana kufurahia anguko la bwana sitta. Sababu ni kwamba, anamshutumu sitta kuwa ndie aliechangia ccm kupoteza kata tano ktk uchaguzi wa mwaka huu ambapo zimekwenda upinzani ikiwamo pia kata ya urambo mjini ambapo diwani huyo aliangushwa vibaya na mgombea wa chadema aitwaye amatusi ilumba. Diwani huyo ana bifu kubwa sana na sitta. Habari ndio hiyo kutoka urambo.
alikuwa anamuonea wivu tu huyo hana lolote
 
Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,288
2,000
Na ARUSHA,MWANZA,MBEYA nk SITTA alisababisha majimbo kupotea?Alitakiwa kumlaumu JK sio SITTA...kama SITTA angekuwa tatizo basi na yeye SITTA angepoteza jimbo....Dunderheads
 
MTWA

JF-Expert Member
Aug 5, 2009
1,155
1,250
I tell you kama CCM wataendelea na utendaji wao huo, kuna kila uwezekano 2015 wakapoteza viti vingi. Labda wavuruge ssana upinzani
 
Utingo

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
7,785
2,000
Na ARUSHA,MWANZA,MBEYA nk SITTA alisababisha majimbo kupotea?Alitakiwa kumlaumu JK sio SITTA...kama SITTA angekuwa tatizo basi na yeye SITTA angepoteza jimbo....Dunderheads

PIa JK, makamba, abrahman kinana na vigogo wote wa ccm, serikali, usalama wa taifa, jwtz wote wamesurrender jimbo ambalo wanaishi la kawe kwa Halima mdee (CHADEMA) huyu diwani lazima amelewa wanzuki ya asali.
 
Kituko

JF-Expert Member
Jan 12, 2009
9,557
2,000
CCM hawajuhi mchawi wao ni nani, CCM ilikuwa na imejengwa vizuri kwenye mashina, lakini inakufa taratibu na wanaoiua CCM hawaanzii kwenye mashina bali ni CCM Taifa, Hilo anguko la huyo Diwani sio sababu ya Sitta sababu kubwa ni RA,EL, JK, Makamba na wengeneo, sasa kifo kingine kinataka kuanzia bungeni na mpaka 2015 sidhani kama kutakuwa na madiwani wa CCM
 
Zogwale

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
14,589
2,000
Hata ile mikoa mingine Upinzani walishinda kwa kishindo (DSM, Shinyanga, Mbeya, Morogoro, etc) halafu wakachakachua matokeo nako alikuwepo SITTA? Mbona inajulikana kuwa CHADEMA walishinda over 70 seats ila wakafanyiwa RAFU? Subiri 2015, sijui hapo atalaumiwa nani? Utabiri ulishafikiwa kuwa SSM inafiwa mikononi mwa mkwere, period!!!
 
jnuswe

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
1,270
1,195
Ni mtazamo wangu, Sita hakustaili kugombea kupitia chama cha CCM kwa heshima aliyonayo kwa sasa katika nchi hii,si heshima ya kulazimisha bali inatokana na uwezo na umakini alionao katika kupambanua mambo pia ana uzalendo na nchi yake, chama kinachomfaa ni CHADEMA
Mimi nilijua walivyoanza kumunyoshea vidole wale mafisadi angesoma alama za nyakati kwa kukipiga chini CCM na kugombea kupitia chama makini, lakini nafasi bado anayo anaweza akapiga chini ubunge kitakachofuata ni kutangazwa kwa uchaguzi upya na yeye nina uhakika atalichukua lile jimbo kupitia CHADEMA tuongeze idadi ya wapiganaji , yule mama najua atapumua kwa taabu kwaza leo tu kachemsha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom