Kasheshe la Bia Za Kumwaga...literally!!!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Gallery+1.jpg

Members of public had a Moi day present along Thika Road on Friday afternoon, when a a truck full of Beer overturned scattering all the beers along the Road.

Gallery+2.jpg

Gallery+3.jpg

Gallery+4.jpg

Gallery+5.jpg

Gallery+6.jpg

duh,kwa hiyo watu walijirusha kinoma.Ama kweli mkosi wenye bahati.

Nambie mkuu, mimi mwenyewe nimneona kama nime-miss bonge la
occassion.Mchanga uli-furahi kwa kileo!!!!

Wasemavyo wenyewe.."tuliji-enjoy"
 
Imenikumbusha kipindi fulani nilipata mualiko wa kutembelea TBL.....nilikuwa najitoe kwenye mijijagi ile mikubwa
 
Povu linadondoka, yaani raha mustarehe! (Picha ya mwisho)
Ni dhahiri hiyo sio bia yake ya kwanza, wala hana pupa.
 
Yani ukitaka kuona jinsi gani waafrika tulivyokuwa watumwa wa pombe, pembeni yake lingedondoka lori lingine lililobeba viroba vya mchele, bado watu wangejazana kwenye lori la bia.
 
Yani ukitaka kuona jinsi gani waafrika tulivyokuwa watumwa wa pombe, pembeni yake lingedondoka lori lingine lililobeba viroba vya mchele, bado watu wangejazana kwenye lori la bia.

QM,

that was funny but very true yet sad.Jamaa watabugia kileo kabla
kufikiria mankuli....hio ni mambo ya baadae aisee!!!
 
Povu linadondoka, yaani raha mustarehe! (Picha ya mwisho)
Ni dhahiri hiyo sio bia yake ya kwanza, wala hana pupa.

Lazydog,

hapo walikua washafukuzwa baada ya round one sasa wanarudi tena
for round 2.Hana pupa maana washa-store bia zao chemba sasa wanakuja
for ziada!
 
Duuh, tujitu twingine bana... tunoko truetrue! Sasa hapo kenyewe kame-lose nini? Utafikiri ka MD ka Ndovu breweries vile..... basi tu kujipa majukumu kasikositahiri, mweeee.... wangekaramba na chupa moja ya mguuni labda nd'o kangejifunza.... nyooo, si kaache nature i-take its course, watu wasafishe barabara kwa bure... magari yapite hapo chupa zisagike na kurudi into silicate na MOI DAY iishe kwa furaha!!! :)
 
Kenya ma-crate sio dili eh?!

.
ha ha ha ha.... unataka wayapeleke Mtakuja primary school yawe kama madawati nini?!! watu wa kuya-mind kwa sana ni wasindikaji wa Tembo asilia, wanzuki na ulanzi, ambavyo vyote naamini si kwa wingi ndani ya downtown n'Robi maana malighafi zake hazipatikani huko kirahisi... lol
 
Hawa mabwana nd'o walioajiriwa na wahindi kama vibaraka basi wanatetea mali
utadhani an-share na bepari.Wala hujakosea unaposema angecha nature to take its course hapo na tajiri ataclaim kwenye insurance yake...ama labda mali ni ya
kifisadi tu.

jamco_za
wamenifurahisha hakuna anayemind crets wao bia tu.

Creti hazina dili mkuu.Ni mzigo kubeba na pia kizibit mwera zikitokea.
Polisi lazima walitokea na kufaidi japo walichelewa kidogo.Labda kama
una kipick-up chako sehemu.
 
ha ha ha ha.... unataka wayapeleke Mtakuja primary school yawe kama madawati nini?!! watu wa kuya-mind kwa sana ni wasindikaji wa Tembo asilia, wanzuki na ulanzi, ambavyo vyote naamini si kwa wingi ndani ya downtown n'Robi maana malighafi zake hazipatikani huko kirahisi... lol

That was funny!:D
 
Back
Top Bottom