THE UNKOWN NI NENO LA KISWAHILI? MKUU KABLA YA KUPOST NA WW JIANGALIE KWANZAWaafrika alieturoga ametuweza.
Hadi miaka hii bado tunaamini majina ya kizungu ni bora zaidi kuliko majina ya kiafrika.
Sehemu kubwa ya watoto wanaozaliwa wanapewa majina ya kizungu, watu wengi wanaobatizwa wanabatizwa majina ya kizungu.
Kwani kuna mahala katika vitabu vya dini palipoadikwa ni lazima ubatizwe jina la kizungu au lililo katika vitabu hivyo?
Cha kushangaza watu hao hao wanaowapa majina ya lizungu watoto wao na wao wenyewe unakuta wanapiga kelele kua wanataka Africa iwe huru, uhuru upi wakati wewe mwenyewe hauko huru kifikra?
Miaka michache ijayo majina ya Kiafrika hasa hapa Tanzania yatakua yametoweka.
Waafrika tuna matatizzo gani?
Kumbuka research sio lazima ifanywe na wazungu hata wewe unaweza, angalia watoto wanao itwa FURAHA angalia sifa zao kisha watafute wanaoitwa SHIDA angalia sifa zao piaHakuna research ambayo imewahi kufanyika kuhusu majina.
Mkuu haya majinia ni ya kweli au unatania 2Kuna.majina yakisafwa haya
SHIDA
MAWAZO
MATATIZO
MASUMBUKO
Sasa wakinga wanaiga majina ya kizungu km.haya
POOL TABLE MBILINYI
ESCROW SANGA
nk
Na wasukuma.nao majina ya kizungu
GOBOLE MASUNGA
KIBELIT
BUNDUKI MSOKWA
nk
Kazi kweli.kweli
Kwamba hujawasikia.moja majina.hayooMkuu haya majinia ni ya kweli au unatania 2
Kuna.majina yakisafwa haya
SHIDA
MAWAZO
MATATIZO
MASUMBUKO
Sasa wakinga wanaiga majina ya kizungu km.haya
POOL TABLE MBILINYI
ESCROW SANGA
nk
Na wasukuma.nao majina ya kizungu
GOBOLE MASUNGA
KIBELIT
BUNDUKI MSOKWA
nk
Kazi kweli.kweli
mbona unazungumzi
Mbona unazungumzia majina ya kikristu tu ya kiislamu huzungumzii kwa nini?
Wakristo wanawapa watoto hata majina ya Kibantu Mfano Neema, Upendo, Vumilia, Baraka, Elisifa, Elineema, Faraja, Lulu, Aika, Sifaeli, n.k lakini huwezi kukuta waislamu na majina ya Kibantu.
Wakristo mpaka mavazi ni ya Kibantu lugha ya kuendeshea ibada ni ya Kibantu lakini uislamu hivyo vyote ni haramu na najisi.
Nimekaa nikautafakari uislamu nikaona uislamu ni mfumo kamili wa utamaduni wa mwarabu tu.
Nilisikia mufti hawezi kuchaguliwa kama majina yake manne sio ya kiarabu
Mkuu unavo wazugumzia wakiristu peke yao unakosea, pengine kuna sheria za kanisa zinazo shurutisha wakiristo wabatizwe kwa majina ya watakatifu wao mimi sijui.
Tatizo kubwa lipo kwa waislamu (mimi mojawapo).
UISLAAM, haumlazimishi muislam kutumia jina la kiarabu,masahaba wala majina ya manabii walio tangulia, lakini unakuja kukuta waislamtz, hawa tumia kabisa majina ya makabila asili na hayo yakiarabu wanayo tumia kwa kujilazimisha, wanayatamka visivyo, na mpaka sasa hivi wanadiriki kuamini majina ya kienyeji ni haramu kutumia na kuyaita ni yakikafiri
Pole sana kwa kushindwa kutambua na kujua dini yako inakutaka uweje.Mkuu Chongchung
Sijui umesoma wapi kwamba kuendesha ibada kwa Kibantu Au kuvaa Kibantu NI haramu Na najis.
Kuraan Tukufu imeandikwa Kwa Kiarabu kutokana Na sheria za Dini LAZIMA isomwe kwa Kiarabu Ila tafsiri inatumika Kwa Lugha ya waumini.
Mavazi ya Kiarabu hayajalazimishwa unacho takiwa kuvaa NI nguo Safi Na yenye heshima
Majina ya Kiarabu hayajalazimishwa Lakini Lugha ya Kiswahili maneno mengi NI ya Kiarabu
Kwahiyo watu wengi tumechukua majina ya Kiswahili.Kipozoe,Juma,Jumanne Baraka Pili yako mengi tu.
Wako wataalam wengi watachangia wenye elmu kubwa ya Dini ya Kiislam.
Furaha na Shida ni majina ya kizungu?Kumbuka research sio lazima ifanywe na wazungu hata wewe unaweza, angalia watoto wanao itwa FURAHA angalia sifa zao kisha watafute wanaoitwa SHIDA angalia sifa zao pia
Una uhakika na usemacho?Mkuu unavo wazugumzia wakiristu peke yao unakosea, pengine kuna sheria za kanisa zinazo shurutisha wakiristo wabatizwe kwa majina ya watakatifu wao mimi sijui.
Tatizo kubwa lipo kwa waislamu (mimi mojawapo).
UISLAAM, haumlazimishi muislam kutumia jina la kiarabu,masahaba wala majina ya manabii walio tangulia, lakini unakuja kukuta waislamtz, hawa tumia kabisa majina ya makabila asili na hayo yakiarabu wanayo tumia kwa kujilazimisha, wanayatamka visivyo, na mpaka sasa hivi wanadiriki kuamini majina ya kienyeji ni haramu kutumia na kuyaita ni yakikafiri
Uhuru wa kiuchumi, Science etc. Ebola iko Africa, dawa wamegundua Canada. Hilo halikuumi. Unalilia majina. Zika inatafitiwa dawa USA, hilo halikuumi, kuwa matatizo yetu tuyakabili kuliko kuwapa wazungu. Hilo hulioni. achana majina ni upuuzi. Wazungu are superior. Hiyo internet unayokalia wakifunga, mtandao huu utakufa instantly, hilo halikuumi kuwa tunabidi tuwe na system za kwetu. Umekalia majina!!!!Waafrika alieturoga ametuweza.
Hadi miaka hii bado tunaamini majina ya kizungu ni bora zaidi kuliko majina ya kiafrika.
Sehemu kubwa ya watoto wanaozaliwa wanapewa majina ya kizungu, watu wengi wanaobatizwa wanabatizwa majina ya kizungu.
Kwani kuna mahala katika vitabu vya dini palipoadikwa ni lazima ubatizwe jina la kizungu au lililo katika vitabu hivyo?
Cha kushangaza watu hao hao wanaowapa majina ya lizungu watoto wao na wao wenyewe unakuta wanapiga kelele kua wanataka Africa iwe huru, uhuru upi wakati wewe mwenyewe hauko huru kifikra?
Miaka michache ijayo majina ya Kiafrika hasa hapa Tanzania yatakua yametoweka.
Waafrika tuna matatizzo gani?
angalia ID yanguZaa wako muite nyamuchere au tororongeyi
majina ya kiislam asilimia kubwa ya maana ya kiswahili mf.amina, mwanaisha,Mwajuma, Mohammed nk. Kiswahili kinatokana na kiarabu kwa asilimia nyingi hivyo majina ya waislam yana maana ya kiswahilimbona unazungumzi
Mbona unazungumzia majina ya kikristu tu ya kiislamu huzungumzii kwa nini?