Sababu anaenda kugombea Jimbo sehemu.
Wote wenye nia hiyo waliokuwa serikali walipewa amri watoe taarifa kwa mamlaka ya uteuzi haraka ili nafasi zao zizibwe haraka.
Kuna kikao Mh.Rais alitoa maagizo adharani.
Hawawezi kuwa nayo kwa sababu polisi sio chombo kinachojiamulia mambo yake hivyo lolote wanalofanya liko chini ya sheria na ni chombo cha dola(executive).
Wanayo mahakama ya kijeshi kabla ya kupelekwa mahakama za kiraia lazima wapelekwe mahakama ya kijesh wafukuzwe kazi kwanza au wasimamishwe kazi ndo wapelekwe mahakama za kiraia kujibu jinai
Huyu jamaa amemuua kikatili sana yule dogo.
Yani mtu anadai pesa zake halafu anaishia kuuwawa kikatili namna ile?Ningekua ndio Rais wa hii nchi watu kama hawa nasaini mara moja tu ili hukumu zao zitekelezwe chap.
Hawana ila hata JWTZ mahakama zao zina utaratibu wake maalum ila zinafanya kasi zaidi hasa wakati wa Vita.Wakati wa amani hazitumiki sana.Mkosaji anaweza hukumiwa mahakama za kiraia
Sasa mahakama za kijeshi ushangae hakuna wakili wala hakuna kujitetea huwa unasomewa shitaka na adhabu.
Mahakama za kijeshi uzuri wake unashitakiwa kwa kosa ambalo liko wazi umetenda.Sio huku uraiani dereva kaua kwa uzembe kibaya zaidi hata leseni hana lakini utasikia uchunguzi unaendelea
Huyo Gillbert alikuwa na Roho mbaya sana kipindi cha magufuli alikuwa kwenye kikosi cha Task Force aliwaliza wahindi waarabu mamilion ya pesa acha laani zimtafune sasa
Jamaa pamoja na makosa lakini hapo alichezea pabaya watu wamedeal nae ki ulalo ulalo hadi apotee
Anyway ni funzo kwa yule jamaa aliyechapa watu na fimbo nyeusi