Knock life
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 2,468
- 7,733
Ilianza hivi
Ikaja hapa
End .
Lesson kila ubaya utalipwa
AhaaUbaya ubwela
Huyo Gillbert alikuwa na Roho mbaya sana kipindi cha magufuli alikuwa kwenye kikosi cha Task Force aliwaliza wahindi waarabu mamilion ya pesa acha laani zimtafune sasaHuyu jamaa tayari anaenda kufia gerezani kwa ujinga wake na tamaa
Mayala kana njaa ya uteuzi ni kajinga sanaPascal Mayalla endeleeni kuwasifu hao wauaji but karma IPO kazini
So sadHuyo Gillbert alikuwa na Roho mbaya sana kipindi cha magufuli alikuwa kwenye kikosi cha Task Force aliwaliza wahindi waarabu mamilion ya pesa acha laani zimtafune sasa
Mshahara wa Dhambi ni mautiUbaya ubwela
Wachina alikuwa akiwatishia kuwabambikia kodi anawakamata anawasweka ndani siku moja mbili akiwaachia wanampelekea mamilion amewatesa wengiSo sad
Ohhh!Wachina alikuwa akiwatishia kuwabambikia kodi anawakamata anawasweka ndani siku moja mbili akiwaachia wanampelekea mamilion amewatesa wengi
utashangaa sana rufaa itawaachiaHuyu jamaa tayari anaenda kufia gerezani kwa ujinga wake na tamaa
Jwtz ukiua unaachiwa ?Ivi huwa hawana mahakama zao kama ilivyo kwa JWTZ?