Karipuuuuu uonje

Msesewe tayari hapo ipo tayari kwa wakina mmphaamiko si mchezo kitu cha mamba hicho
 
kitu hii inatengenezwa vizuri kule kibosho asee.. ukichukua kitochi kimoja
ukichanganya na banana tatu mambo yanakuwa shwari..
 
Chaa, ruwaoko mangi! Mila, mila, mila...Tumewafikisha penyewe. Hachomoi mhusika hapo! Utawatambua kwa alama zao!
 
Umenikumbusha mbali mno, sasa ghafla nimekumbwa na kiwewe cha kurudi home kusalimia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…