Karimjee kumuaga Sumari

Karimjee kumuaga Sumari

Mkuu Mkeshaji, kwa vile unaamini Dr. aliibiwa kura, hivyo kila ambaye sio Chadema basi ndio mwizi wenu?!.

Jibu langu lili-reflect statement yako...
Ilionesha mambo manne ama zaidi ndani yake:
1. JF ni ya chadema (membaz wa chadema). Hili uongozi wa jf ulishalikanusha tangu katibu mwenezi wa chama chenu alipotoa tuhuma kama hizo.
2. Memba wa jf huwa wanahudhuria kwenye misiba ya membaz wenzao tu (hata kama ni kweli sioni tatizo hapo)
3. Msiba ukiwa ni wa mwanachadema basi wanachadema lazima wahudhurie (hili pia sioni tatizo lake)
4. Ukiona watu maelfu kwa maelfu wamehudhuria msibani basi ujue kuwa aliyekufa ni mwanachadema.

Hiyo ya nne ndo iliyonifanya niamini kuwa kweli Dr. Slaa aliibiwa kura. Kama wanachadema wanaweza kujitokeza kwa wingi namna ile kwenye msiba ni wazi kuwa kwenye uchaguzi ni vivyo hivyo kwani nchi yetu sasa hivi ni kama ipo msibani, na kama umati huo wote una mapenzi na chadema ni aglabu watu hao wataichagua chadema. na kama wameichagua chadema halafu eti haikushinda...kura zimeenda wapi?

Na kwa kuwa nimeona mara nyingi ukiikejeli chadema na ukijiweka karibu na magamba, nakuchukulia kuwa wewe ni mmoja wao.

Kama wewe ni dereva wa taxi, majambazi watatu wakakukodi mkafanye uhalifu, askari wakiwatia mbaloni watasema tumekamata majambazi wanne.
 
Wanatakiwa waache ubaguzi, wanaJF tushikamane kama walivyoshikimana viongozi wao katika msiba japo sijajua kama jamaa leo alitoa mkono. Hata hivyo hojatete akishapumzika kidogo atatujuza tu najua alikuwa na kazi nzito pale Karimjee.


Hivi mnafahamu kuwa leo ni wikiendi na watu wengi hawana access ya internet?
 
Hojatete leo unasema Kamanda Mbowe , Kamanda Zitto , Kamanda Lema ? Haya endeleeni na pole wafiwa .Watu wamejaa kwani huyu marehemu alikuwa naye mtetea watu wa kawaida ?
 
Jibu langu lili-reflect statement yako...
Ilionesha mambo manne ama zaidi ndani yake:
1. JF ni ya chadema (membaz wa chadema). Hili uongozi wa jf ulishalikanusha tangu katibu mwenezi wa chama chenu alipotoa tuhuma kama hizo.
2. Memba wa jf huwa wanahudhuria kwenye misiba ya membaz wenzao tu (hata kama ni kweli sioni tatizo hapo)
3. Msiba ukiwa ni wa mwanachadema basi wanachadema lazima wahudhurie (hili pia sioni tatizo lake)
4. Ukiona watu maelfu kwa maelfu wamehudhuria msibani basi ujue kuwa aliyekufa ni mwanachadema.

Hiyo ya nne ndo iliyonifanya niamini kuwa kweli Dr. Slaa aliibiwa kura. Kama wanachadema wanaweza kujitokeza kwa wingi namna ile kwenye msiba ni wazi kuwa kwenye uchaguzi ni vivyo hivyo kwani nchi yetu sasa hivi ni kama ipo msibani, na kama umati huo wote una mapenzi na chadema ni aglabu watu hao wataichagua chadema. na kama wameichagua chadema halafu eti haikushinda...kura zimeenda wapi?

Na kwa kuwa nimeona mara nyingi ukiikejeli chadema na ukijiweka karibu na magamba, nakuchukulia kuwa wewe ni mmoja wao.

Kama wewe ni dereva wa taxi, majambazi watatu wakakukodi mkafanye uhalifu, askari wakiwatia mbaloni watasema tumekamata majambazi wanne.

Ebu tueleze wengine huwa tunasikia tu... Hivi kura huwa zinaibiwaje?
 
Nadhani hiki ni kipindi cha Mheshimiwa Rais kuuthibitishia Umma kuwa yeye ni mtu wa watu kwenye shughuli za namna hii. na kuwa si kweli kuwa hajali au hana awezacho..

Pia mbona magari ya kupeleka watu msibani hayakufika huku kwetu?

R. I. P. Sumari
 
Kumbukeni kuwa leo ni jumamosi na kwa wafanyakazi wengi leo ni siku ya mapumziko.
Siku ya kumuaga marehemu Regia ilikuwa ni siku ya kazi hivyo watu wengi walichangia kupitia makazini.
Watu wengi huwa wana-access internet huko makazini kwao na hawana access hiyo majumbani.
Usitarajie kupata wachangiaji wengi katika hali kama hiyo.

Mkeshaji nimenusa pointi yako hapa
 
Pasco,

Kwenye msiba hatuna CCM,CHADEMA,CUF,NCCR-Mageuzi,UDP n.k......Kwenye msiba tunakuwa wamoja.....

Kwenye msiba tunaweka tofauti zetu pembeni na kuwa wamoja kama watanzania....

Kama kwenye vitu vya msingi kwa maendeleo ya taifa lenu hamuweki kando tofauti zenu, ila kwenye misiba!! haiyumkini taifa lenu ni la wajinga!!!!!
 
Bye bye my friend Jerry, siku zikifika tutaonana REST IN PEACE!
 
[h=3]mh.jeremia sumari aagwa leo karimjee[/h]on Saturday, January 21, 2012

Mh. William Lukuvi akitoa salamu za rambirambi kwa niaba ya serikali

Mh.Freeman Mbowe akitoa salamu kwa niaba ya kambi rasmi ya upinzani

Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Mh.Jeremiah Sumari
​
Wageni waliofika kutoa heshima zao za mwisho wakiongozwa na Mh rais ndg Jakaya Kikwete

Waliofika kutoa heshima ya mwisho
​
 
MaproCCM mlioko hapa JF- Hojatete, ritz, rejao, FF, Pasco na wengine wengi ambao sijawataja mmeshindwa kutuwekea picha za tukio la kumuaga marehemu sumari.
Mmeishia kulalamika kwamba wachangiaji wa thread wako wachache. Hii inadhihirisha kwamba hamjipangi kufanya vizuri kazi za chama chenu pamoja na zinazowahusu wanachama wenu lakini mnakuwa wa kwanza kulalamika wakati ProCHADEMA wanapofanya vizuri kazi zinzowahusu members wenzao na chama chao.

Kwa mfano kuna gamba moja limeanzisha thread asubuhi asubuhi sredi ya pendekezo la Dr. Slaa kugombea ubunge arumeru, hata bila aibu na kujali kwamba leo ndio mwenzao anaagwa karimjee hivyo alitakiwa kuonyesha upendo na mshikamano(hata wa kinafiki) japo kwa muda huu mfupi wa kutoa heshima za mwisho.

Punguzeni majungu na fitna mfanye vizuri kazi zenu!
 
Mkuu Molemo,
kuna thread "Pendekezo: Slaa amrithi SUMARI Arumeru"

Hakuna cha msiba tena, msiba ulikuwa wa Regia Mtema tu.

Kilombero 2010 Regia RIP aliibiwa kura
Arumeru 2010 Sumari RIP aliiba kura

hii ndo tofauti ya hawa wapendwa wetu wawili waliotutangulia mbele ya haki, ni fundisho zuri kwa magamba kuwa mwisho ya yote haya tutakutana huko na mwenye kudhulumu atajijua
 
Inavyoelekea Next Week tutamuaga mwengine hapohapo Karimjee!
 
Back
Top Bottom