Karimjee kumuaga Sumari

Karimjee kumuaga Sumari

Rais Jakaya Kiwete Akiongoza zoezi la Kutoa Heshima Za Mwisho Kwa Marehemu Jeremiah Sumari Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam Leo






su1.jpg

Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Marehemu Jeremiah Sumari likiwasili katika uwanja wa Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo January 21, 2012 tayari kwa kupewa heshma za mwisho
su5.jpg

Rais Kikwete akiongoza umati mkubwa wa waombolezaji katika shughuli hiyo
IMG_0165.JPG

su3.jpg

Rais Kikwete akitoa heshima zake za mwisho
su4.jpg

Rais Kikwete akimpa pole mjane Mama Miriam Sumari
IMG_0086.JPG

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Jakaya Kikwete akiwa pamoja na Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda (Mb) na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Jeremiah Sumari katika Viwanja vya karimjee leo. Mhe. Sumari alifariki tarehe 18 Januari, 2012 katika hospitali ya Muhimbili
su6.jpg

Rais Kikwete, Jaji Mkuu Mohamed Chande Othman, Spika Anne Makinda na kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni Mh Freeman Mbowe .Picha na IKULU​
 
Mh spika amezungumza wakati wa hotuba ya kuaga mwili wa aliyekuwa mbunge wa Arumeru.....'Wanasema siasa ni mchezo...kila mwanasiasa ni mwanadamu aliyeumbwa na mungu kumtumikia hivyo awaongoze wale aliopewa kuwaongoza na kuwatumikia kadiri ya mapenzi ya mungu, kuwajali....' Je haya ndiyo yanayosimamiwa na serikali kwa viongozi wetu?
 
MaproCCM mlioko hapa JF- Hojatete, ritz, rejao, FF, Pasco na wengine wengi ambao sijawataja mmeshindwa kutuwekea picha za tukio la kumuaga marehemu sumari.
Mmeishia kulalamika kwamba wachangiaji wa thread wako wachache. Hii inadhihirisha kwamba hamjipangi kufanya vizuri kazi za chama chenu pamoja na zinazowahusu wanachama wenu lakini mnakuwa wa kwanza kulalamika wakati ProCHADEMA wanapofanya vizuri kazi zinzowahusu members wenzao na chama chao.

Kwa mfano kuna gamba moja limeanzisha thread asubuhi asubuhi sredi ya pendekezo la Dr. Slaa kugombea ubunge arumeru, hata bila aibu na kujali kwamba leo ndio mwenzao anaagwa karimjee hivyo alitakiwa kuonyesha upendo na mshikamano(hata wa kinafiki) japo kwa muda huu mfupi wa kutoa heshima za mwisho.

Punguzeni majungu na fitna mfanye vizuri kazi zenu!

wanasubiri Dr.Slaa asalimiane na JK ndo wawashe vidigital camera vyao wapige picha.
 
MaproCCM mlioko hapa JF- Hojatete, ritz, rejao, FF, Pasco na wengine wengi ambao sijawataja mmeshindwa kutuwekea picha za tukio la kumuaga marehemu sumari.
Mmeishia kulalamika kwamba wachangiaji wa thread wako wachache. Hii inadhihirisha kwamba hamjipangi kufanya vizuri kazi za chama chenu pamoja na zinazowahusu wanachama wenu lakini mnakuwa wa kwanza kulalamika wakati ProCHADEMA wanapofanya vizuri kazi zinzowahusu members wenzao na chama chao.

Kwa mfano kuna gamba moja limeanzisha thread asubuhi asubuhi sredi ya pendekezo la Dr. Slaa kugombea ubunge arumeru, hata bila aibu na kujali kwamba leo ndio mwenzao anaagwa karimjee hivyo alitakiwa kuonyesha upendo na mshikamano(hata wa kinafiki) japo kwa muda huu mfupi wa kutoa heshima za mwisho.

Punguzeni majungu na fitna mfanye vizuri kazi zenu!

Nipo hapa mzee,tatizo nazungumza mambo ambayo hupendi kuyasikia ndio maana nakunyima raha kutwa unanifikiria,umekimbia hoja kule na kuja kujificha msibani....unataka watu wote wadeke na misiba kama cdm mnavyodeka na msiba wa dada Regia na kutaka taifa zima liingie msibani kisa mbunge wa viti maalum wa chadema?mzee sumari kishafariki tunamuombea kwa mungu amuweke pahala panapofaa,lakini maisha lazima yaendelee na hoja yangu palepale,mchango wa dr.slaa unahitajika sana bungeni,asimame Arumeru wapenda demokrasia tutamsimamie kuhakikisha anashinda kwa maslahi ya ustawi wa demokrasia hapa nchini ambao utaifanya serikali isilale ichape kazi kwa kuwahofia watu kama Dr kuwalipua wakichemsha,ni hilo tu ndio shida yangu mzee.
 
Ebu tueleze wengine huwa tunasikia tu... Hivi kura huwa zinaibiwaje?
Hilo swali hamna hata mmoja anaweza kukujibu,kuna mahali nimewauliza sana the same question but wanatapa tapa tu hawana majibu,ni kwamba wamekaririshwa na wanasiasa wanaowaamini huo msamiati na bahati mbaya hautaki kutoka vichwani mwao,hili ni tatizo.
 
Nipo hapa mzee,tatizo nazungumza mambo ambayo hupendi kuyasikia ndio maana nakunyima raha kutwa unanifikiria,umekimbia hoja kule na kuja kujificha msibani....unataka watu wote wadeke na misiba kama cdm mnavyodeka na msiba wa dada Regia na kutaka taifa zima liingie msibani kisa mbunge wa viti maalum wa chadema?mzee sumari kishafariki tunamuombea kwa mungu amuweke pahala panapofaa,lakini maisha lazima yaendelee na hoja yangu palepale,mchango wa dr.slaa unahitajika sana bungeni,asimame Arumeru wapenda demokrasia tutamsimamie kuhakikisha anashinda kwa maslahi ya ustawi wa demokrasia hapa nchini ambao utaifanya serikali isilale ichape kazi kwa kuwahofia watu kama Dr kuwalipua wakichemsha,ni hilo tu ndio shida yangu mzee.

una kazi maalum!! pole sana mkuu.
 
Hakiyamungu leo sijui kuna nini hapa aisee,,, yaani niko hapa msibani tunalala hapa ili kesho tusafirishe kwenda Arusha, yaani hamna watu, kuna kama watu mia moja hivi ama chini ya hapo, hivi kunani jamani?
 
Nawewe muache baba wa watu na familia yake, uko msibani umeanza kurusha. Siku hizi nani analalaga msibani? Tena watu mia ni wengi sana, tena keshaagwa? Ndo bye bye hiyo.

Poleni familia ya Jerry.
 
zumbe mkuu na mwita maranya kwanini hatupendani?
Mbowe kasema wazi leo kwamba,siasa isitufitinishe ikatufanya maadui hata salam tusisalimiane.mbona hatuheshimu kauli za viongozi wetu?hapa hakuna cha pro cdm wala ccm,sisi ni ma analyst,yeyote akiboronga tunampasulia.hata wewe ukuleta hoja zako za kimasaburi pia tunakuchana live.
 
Kwa mtu kama huyo,
Watu 50 still bado wangekua wengi!!
Anyway, RIP Mzee Sumari
 
Sawa baba, ila ni uzalendo kuwajuza nini kinaendelea huku, nimekoma mkuu.

Nawewe muache baba wa watu na familia yake, uko msibani umeanza kurusha. Siku hizi nani analalaga msibani? Tena watu mia ni wengi sana, tena keshaagwa? Ndo bye bye hiyo.

Poleni familia ya Jerry.
 
Mh spika amezungumza wakati wa hotuba ya kuaga mwili wa aliyekuwa mbunge wa Arumeru.....'Wanasema siasa ni mchezo...kila mwanasiasa ni mwanadamu aliyeumbwa na mungu kumtumikia hivyo awaongoze wale aliopewa kuwaongoza na kuwatumikia kadiri ya mapenzi ya mungu, kuwajali....' Je haya ndiyo yanayosimamiwa na serikali kwa viongozi wetu?
Unamsema Bi Kiroboto..... huyu bibi ana ma-frustration mengi sana na hajiamini
 
wale wa sumu ya pollinium 237?

We acha tu mkuu!!
But inawezekana ikawa ni kama Gari ambayo Body rangi inapukutika wakati Injini nzima inadai bado.
Yaani mtu unaumwa externally wakati internally mzima na bukheri wa afya
 
hakiyamungu leo sijui kuna nini hapa aisee,,, yaani niko hapa msibani tunalala hapa ili kesho tusafirishe kwenda arusha, yaani hamna watu, kuna kama watu mia moja hivi ama chini ya hapo, hivi kunani jamani?

kwa hiyo unataka kutupa ujumbe gani labda?mmewashinda jamaa kwa msiba wenu kufunika au?kama ndio hiyo itawasaidia nini kisiasa kama chama cha siasa?
 
zumbe mkuu na mwita maranya kwanini hatupendani?
Mbowe kasema wazi leo kwamba,siasa isitufitinishe ikatufanya maadui hata salam tusisalimiane.mbona hatuheshimu kauli za viongozi wetu?hapa hakuna cha pro cdm wala ccm,sisi ni ma analyst,yeyote akiboronga tunampasulia.hata wewe ukuleta hoja zako za kimasaburi pia tunakuchana live.
Baelezee baelewe baache kutomboka maneno mingi bila kusikiliza wakubwa wa chama!hawajui kufanya siasa,tuwasamehe lakini,siasa sio kususa kupeana mikono na kumwagiana tindikali usoni,siasa mnashindana kwa hoja lakini hampigani na kuacha kuzikana!
 
zumbe mkuu na mwita maranya kwanini hatupendani?
Mbowe kasema wazi leo kwamba,siasa isitufitinishe ikatufanya maadui hata salam tusisalimiane.mbona hatuheshimu kauli za viongozi wetu?hapa hakuna cha pro cdm wala ccm,sisi ni ma analyst,yeyote akiboronga tunampasulia.hata wewe ukuleta hoja zako za kimasaburi pia tunakuchana live.

hoja zako tete sana mkuu,
 
Back
Top Bottom