Karimjee kumuaga Sumari

Karimjee kumuaga Sumari

Nimewasili japo kwa kuchelewa sana viwanja vya Karimjee,cha ajabu naona viongozi na wabunge ndo wengi huku viti vingi nyuma vikiwa wazi na sioni wanachama wa CCM wa kawaida kujaa mahali hapa kama ilivyokuwa kwa MH Hayati REGIA Mtema,hii inamaanisha nini?nawasilisha...
 
Pamoja mzazi ahsante kwa apu detiiiiiii uko juuuuuuu
 
kamanda mbowe atatoa salam za kambi ya upinzani.govt itawakilishwa na lukuvi

nafarijika kama unawatambua Mbowe na Lema kuwa makamanda.
Ila sijasikia kamanda Lukuvi, au kamanda Wassira.
Mwanzo mzuri joh...
 
Hapo unaaribu kwani kanyimwa kukaa na ccm jamani
mbona per diem ya udiwani analamba na wana ccm bana
TEEEEEHHHTEEEEHHH PAMOJA MKUU NIMESIKIA KAFULILALA KAINGIA NAULIZIA MBATIA KAINGIA
NTAKUSHUKURU NIKIPATA PICHA YA HAWA WATU KWA PAMOJA NIWEKE KWENYE KALENDA YA OFISI
 
nafarijika kama unawatambua Mbowe na Lema kuwa makamanda.
Ila sijasikia kamanda Lukuvi, au kamanda Wassira.
Mwanzo mzuri joh...


awezi kuwatambua kama makamanda kwasababu na yyeye ni kamamnda mtarajiwa kijana anajitahdi sana sana ndugu yangu
ingekuwa vitimaalum tunaruhusu naninnino ningemwomba mbowe asimashahu kwenye kaufalme chake
 
Hapo unaaribu kwani kanyimwa kukaa na ccm jamani
mbona per diem ya udiwani analamba na wana ccm bana
TEEEEEHHHTEEEEHHH PAMOJA MKUU NIMESIKIA KAFULILALA KAINGIA NAULIZIA MBATIA KAINGIA
NTAKUSHUKURU NIKIPATA PICHA YA HAWA WATU KWA PAMOJA NIWEKE KWENYE KALENDA YA OFISI
mbatia yupo.unajua kuna ccm wamevaa sare sasa lema amekaa jiran nao ndo ma
na nkawapa
 
pamoja hojatete tuko pamoja kamanda wangu vipi nkitoka saa saba ntawahi alafu unajua wape tu wazo wanatakiwa waweke jamaa wa catering
unajua mtu akitoka hapo msiban sio tena akimbilie nyumban kula ugali leo ni weekend waambie makamnada wa chadema na CCM jamani hilo wazo tu ..kutukalisha masaaa kadha aafu tunaondoka bila mpunga kinywani si haki hata kama wakulipia mwisho mtu anafika kwenye jeneza anadondoka kama mzee BOMANI SIKU YA REGIA MNAHISI KADONDOKA NA UCHUNGU KUMBE MZEE WA WATU AMEAGA NYUMBANI CHAKULA ATAKULA KARIMJEE

HOJA TETE NAWAKILISHA
KAMANDA PDIDY KIM II
 
hii misiba isije tumika kama njia ya kutumia mihela yetu ya kodi,uchumi wenyewe unayumba!chonde chonde tusijetumia fedha zote kwa mazishi mpaka tukakosa fedha za matibabu ya india
 
msaidizi wa spika herman berege anasoma wasifu wa marehem
 
sumari na rejia walikuwa wajumbe wa kamati ya miundombinu.
 
Back
Top Bottom