Karimjee kumuaga Sumari

Kwanini anasafirishwa kwa ndege?Nani anagharamia hilo?Bunge au familia?Maana kwa Regia ni kwa barabara au ni mipango tu?Nauliza tu kujua.
 
ccm itawakilishwa na watu kumi na tatu huko arumeru wakiongozwa na mUkama
 
mwandishi wa the citizen aka wazee wa jungu wapo hapo?tuambieni nani na nani wanashikana mikono bana!
 
hii misiba isije tumika kama njia ya kutumia mihela yetu ya kodi,uchumi wenyewe unayumba!chonde chonde tusijetumia fedha zote kwa mazishi mpaka tukakosa fedha za matibabu ya india

MWAMBIE MUNGU APUNGUZE SPEED YA KUWACHUKUA ,,UKITAKA KUMUOMBA MUNGU KITU TAFUTA SRC KWANZA
UTAPIGA MAKELEEL JF JAMAA KULE AKIWATAMANI ATA WEWE ANAKULAMBA SIKUHIYO HUKU NASI TUNAENDELEA KUCHAT ..TOFAUTI WE WATAKUAGA NYUMBAN KWAKO SIO KARIMJEE NA HAPA NDIO TUHAPABATIZA ..SEHEMU YA KUAGIA MISIBA ,,ILA NA DOUBT KAMA MAREHEMU ASHAWAHI HATA KUPAKANYAGA HAPA JAMANI ...

BINAFSI NAMZIMIKIA HUYO MZEE NILIENDA MERU MSIBAN JAMANI AKAPITA NA GARI AKASIMAMA AKAULIZA KUNA NINI AKAAMBIWA MSIBA JAMAA AKSHUKA AKaUNGANA KANISANI MWISho mchungaji akasema TUNAFURAHI UWEPO WA MBUNGE WETU AKASIMAMA KUTOA POLE AKAFUNGA BAHASHA AKAENDA KWA WANAFAMILIA AKAWAPA LAKI MBILI..JAMANI KWA MNAOJUA VIONGOZI WETU WA SIKUHIZI UNGEJUA ANAONDOKA NA SHUGULI ZAKE YULE BABA AKAENDA KWENYE GARI AKAOMBA WATU WAWILI KWENYEGARI WAKAENDA MPAKA TULIPOMLAZA MPENDWA WETU TUMEMALIZA AKAJA KUTUAGA HUYU NDIE
MZEE SUMARI
MUNGU AMLAZE PEMA PEPON JAMANI
 
hojatete thanks

bado tunasubiri, usijali hao wanaosema viti wazi umewahi kurusha thread hii inawauma wao hawakuanzisha

endelea kutujuza please

hivi nikumbushe majina ya watoto wake wa kiume please
 
misiba inatuunganisha bila kuangalia tofauti ze2 za siasa.nawaomba cdm shirikiane ni ipasavyo...mbowe
 
kamati kuu cdm itawakilisha kule arumeru.pia cdm imetoa mil.moja wabunge wa cdm wametoa mil 2.laki3 u nusu
 
Nimewasili japo kwa kuchelewanaa sana viwanja vya Karimjee,cha ajabu naona viongozi na wabunge ndo wengi huku viti vingi nyuma vikiwa wazi na sioni wanachama wa CCM wa kawaida kujaa mahali hapa kama ilivyokuwa kwa MH Hayati REGIA Mtema,hii inamaanisha nini?nawasilisha...
Wanachama wa CCM hawawezi kujaa kama wale wa Chadema sababu hawajapewa posho wamezoea kupewa posho,kapelo,pilau na kubebwa bure kwenye malori,sasa hapo hakuna aliyefanya hivyo,wanachama wa Chadema wao ni kawaida yao kujitolea bure iwe katika misiba,sherehe au maandamano ni tofauti na hao wa CCM
 
qv8Lci+Ef5ex+zEAAAAASUVORK5CYII=
poleni wafiwa na ndugu wa marehemu katika kipindi hiki kigumu
 
Back
Top Bottom