donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Mambo ya weekend biriani[emoji2][emoji2]
NaamMambo ya weekend biriani[emoji2][emoji2]View attachment 1695988
Kwanini hutumii vyakula vyenye spices?Aaahahahahhahaaa nimependa hiyo ya yai unapewa ujimenyee mwenyewe [emoji39][emoji39][emoji39]
Biriani isingekuwa na spices, ningekuwa mfuasi mzuri sana.
Kwanini hutumii vyakula vyenye spices?
Hee,unacheka nini sasa?,utakuwepo bado,unataka kufukua kaburi nini?Shibe yake haiishi haraka tumboni, nakula ila kwa nadra sana. Nakereka na kujawa gesi tumboni pia.
Kila nikikuona nakumbuka uzi wa dare or say the truth.... nabaki nacheka mwenyewe tuu.
Sijui ule uzi bado upo...!!???
Hee,unacheka nini sasa?,utakuwepo bado,unataka kufukua kaburi nini?
Aya bana Kasie binti mahabaAaahahahahahaa hadi hapa bado nacheka tuu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hapana sitaki hata kufukua makaburi, nilifurahi tuu ule uzi the dare part was sweet and fun than the truth part....[emoji28].
Mie napenda sana kucheka utasema nimelewa ...[emoji12] ila bange sijaacha kuvuta.
Aya bana Kasie binti mahaba
Valentine hii nipo single..jasho linanitoka!!Cheers [emoji1635] Darmian.
Enjoy your weekend.
And good preparation for the coming week event .... Valentine babes [emoji6]
Spices hutumii mkuu?Aaahahahahhahaaa nimependa hiyo ya yai unapewa ujimenyee mwenyewe [emoji39][emoji39][emoji39]
Biriani isingekuwa na spices, ningekuwa mfuasi mzuri sana.
Sadari wako nani?Aaahahahahahaa hadi hapa bado nacheka tuu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hapana sitaki hata kufukua makaburi, nilifurahi tuu ule uzi the dare part was sweet and fun than the truth part....[emoji28].
Mie napenda sana kucheka utasema nimelewa ...[emoji12] ila bange sijaacha kuvuta.
Valentine hii nipo single..jasho linanitoka!!
Thanks..na kwako pia weekend njema
Spices hutumii mkuu?
Kuchokana tu..utamu sina pa kupata for the meantime,nateseka we acha tu[emoji3][emoji3]Kisa na mkasa wa kuwa singo ....!!???[emoji15][emoji15][emoji15]
Sasa utamu unaupata wapi...!!!???