The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
- Thread starter
-
- #21
Valid ipo nyingi sana hadi mtaikimbiabora ungadhamini pombe nyama ninunue mwenyewe, sa ivi saa sita mchana, tukianza kata mti mpaka saa nne night gharama itakuwa ndefu saana. dhamini tungi mengine yatatuhusu...
Hili neno linataka uwe bandidu kulitumia!..Hivi maana yake ni sawa na MREJESHO eeh?hahahahah nilijua ulipoona jiko mate yanachuruzika ngoja nipige simu kwa mrombo ....... halafu wewe mubaya sana muda wote hujanipatia mshindo nyuma..............ok nitakuwepo kiti kile kile ole wako uchelewe
Valid ipo nyingi sana hadi mtaikimbia
Njoo nazo tano nasikia PJ huwa anamaliza mbili peke yake
Hahahaha! Ezan njaa imekamata mahali pake nini?Valid ipo nyingi sana hadi mtaikimbia
Hili neno linataka uwe bandidu kulitumia!..Hivi maana yake ni sawa na MREJESHO eeh?
Ukisahau nakuibiaNakuja na chibuku yangu ya mbege. . . . mtu asiniombe.
Nakuja na chibuku yangu ya mbege. . . . mtu asiniombe.
Aisee!! Wahi maeneo yetu ya nyumbani...njoo na chimpumuWapi hiyo mkuu.....natafuta kinywaji nitakuwepo!!
Aisee, angalia hii maneno...Utaacha nitume haya mafaili kwa mama mkwe wangu badala ya Head-Office kwangu, maana ukitaja hiyo makitu ofisi haikaliki, na akili haikamati!yes hata mie kwa mara ya kwanza kulisikia nilishangaa lipo kwenye kamusi................achana na maneno hayo nakupitia hapo twende kula mbuzi kwa TF nimebeba bapa kibao
Hahahaha!!! PJ halafu usikute saa hii Preta kaishatoroka ofisini...Aisee, angalia hii maneno...Utaacha nitume haya mafaili kwa mama mkwe wangu badala ya Head-Office kwangu, maana ukitaja hiyo makitu ofisi haikaliki, na akili haikamati!
Ukisahau nakuibia
Saa hizi Mkuu?...mbona muda sana?Hahahaha!!! PJ halafu usikute saa hii Preta kaishatoroka ofisini...