Karibuni wana-JF wote

Evarist Chahali

Evarist Chahali

Verified Member
Joined
Dec 12, 2007
Messages
531
Likes
1,724
Points
180
Evarist Chahali

Evarist Chahali

Verified Member
Joined Dec 12, 2007
531 1,724 180
Nawakaribisha wana-JF na wasomaji wengine popote walipo kutembelea blogu yangu iitwayo KULIKONI UGHAIBUNIambayo pamoja na mambo mengine ina mkusanyiko wa makala zangu mbalimbali zinazotoka katika baadhi ya magazeti ya huko nyumbani (kwa mfano Raia Mwema na Mtanzania).Ni blogu inayojadili masuala mbalimbali ya ughaibuni na nyumbani kwa kutumia uchambuzi linganifu.Nyote mnakaribishwa kuitembelea.

Asanteni
 
M

mwana siasa

Senior Member
Joined
Aug 28, 2007
Messages
119
Likes
1
Points
35
M

mwana siasa

Senior Member
Joined Aug 28, 2007
119 1 35
sawa mkubwa, ila wengine tulishaanza kuangalia toka long time. lakini kuna kitu kimoja sikielewi kwenye blog yako, makala zalo huwa unatoa mara moja kwa wiki?
 
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,875
Likes
8,036
Points
280
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,875 8,036 280
Asante sana "Kulikoni Ughaibuni"...
 
Evarist Chahali

Evarist Chahali

Verified Member
Joined
Dec 12, 2007
Messages
531
Likes
1,724
Points
180
Evarist Chahali

Evarist Chahali

Verified Member
Joined Dec 12, 2007
531 1,724 180
sawa mkubwa, ila wengine tulishaanza kuangalia toka long time. lakini kuna kitu kimoja sikielewi kwenye blog yako, makala zalo huwa unatoa mara moja kwa wiki?
Nimekusikia Mkuu,
Huwa naweka makala mpya kila Jumatano na Alhamisi.Hizi ni zile zinazotoka katika gazeti la Raia Mwema-katika safu ya RAIA MWEMA UGHAIBUNI (Jumatano) na Mtanzania-katika section ya Majarida yetu:SIASA-safu inaitwa MTANZANIA UGHAIBUNI (Alhamisi).Hata hivyo,kuna nyakati frequency inabadilika hasa pale napoamua kuweka makala "binafsi" (yaani zisizotoka katika magazeti hayo).Sababu ya kuweka makala katika siku hizo mbili (Jumatano na Alhamisi) ni kutoa fursa zitoke kwanza magazetini kabla sijaziweka katika blogu.

Asante kwa kuitembelea blogu hiyo na nakaribisha maoni ya aina yoyote ikiwa ni pamoja na kunikosoa,kunishauri na kuchangia lolote lile.
 
Mtu wa Pwani

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2006
Messages
4,127
Likes
99
Points
145
Mtu wa Pwani

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2006
4,127 99 145
ahsante sana bwana kutokaughaibuni.

tutajitahidi kadri tupato wasaa kutembelea huko, tunashukuru kwa kureactivity yako na kuzidisha nafasi ya kupata habari ktk mtandao
 
G

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Messages
8,570
Likes
119
Points
0
G

Game Theory

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2006
8,570 119 0
Nawakaribisha wana-JF na wasomaji wengine popote walipo kutembelea blogu yangu iitwayo KULIKONI UGHAIBUNIambayo pamoja na mambo mengine ina mkusanyiko wa makala zangu mbalimbali zinazotoka katika baadhi ya magazeti ya huko nyumbani (kwa mfano Raia Mwema na Mtanzania).Ni blogu inayojadili masuala mbalimbali ya ughaibuni na nyumbani kwa kutumia uchambuzi linganifu.Nyote mnakaribishwa kuitembelea.

Asanteni
pamoja na kuja kutangaza Blog yako naona una post 2 tu na umejiunga jana

hebu kwanza tuelezee umeijuaje JF au wewe ni kati ya wale members wenye majina mawili mawili

vile vile ujiandae kukabiliana na ma Critics wa blogs toka JF kama huamini jiulize kwa nini Saidi Yakubu ilibidi aifunge blog yake
 
Evarist Chahali

Evarist Chahali

Verified Member
Joined
Dec 12, 2007
Messages
531
Likes
1,724
Points
180
Evarist Chahali

Evarist Chahali

Verified Member
Joined Dec 12, 2007
531 1,724 180
pamoja na kuja kutangaza Blog yako naona una post 2 tu na umejiunga jana

hebu kwanza tuelezee umeijuaje JF au wewe ni kati ya wale members wenye majina mawili mawili

vile vile ujiandae kukabiliana na ma Critics wa blogs toka JF kama huamini jiulize kwa nini Saidi Yakubu ilibidi aifunge blog yake
Tofauti na kanuni za kibaiolojia ambapo mtoto hazaliwi akaanza kutambaa siku hiyohiyo,sheria za JF hazimkatazi mwana-forum mpya kuto-post mchango wake siku anayojiunga.Naamini wewe kama mwana-forum wa siku nyingi unafahamu hilo fika.

Nimeijuaje JF?Labda kabla sijakujibu swali hilo nikuulize wewe uliijuaje kabla hujajiunga.Naamini jibu lako litakuwa sambamba kabisa na langu.

Said Yakub hakufunga blog kutokana na criticism za wasomaji wake bali kutokana na muingiliano wa maslahi ya kitaaluma na mwajiri wake (BBC).Lakini hata kama hiyo isingekuwa sababu,uamuzi wa kuanzisha au kufunga blog ni wa mtu binafsi.

Kuhusu criticism,mie naamini kwamba ninapokosolewa inamaanisha something as opposed to nothing,kwani ni vigumu mtu kukukosoa kama anaamini kuwa anachokikosoa hakina umuhimu.Pengine tunaweza kuafikiana na hawa waungwana hapa chini:

"Criticism may not be agreeable, but it is necessary. It fulfils the same function as pain in the human body. It calls attention to an unhealthy state of things."-Winston Churchill

"If you have no critics you'll likely have no success."-Malcom X

"It is not the critic who counts; not the man who points out how the strong man stumbles, or where the doer of deeds could have done them better. The credit belongs to the man who is actually in the arena, whose face is marred by dust and sweat and blood, who strives valiantly; who errs and comes short again and again; because there is not effort without error and shortcomings; but who does actually strive to do the deed; who knows the great enthusiasm, the great devotion, who spends himself in a worthy cause, who at the best knows in the end the triumph of high achievement and who at the worst, if he fails, at least he fails while daring greatly. So that his place shall never be with those cold and timid souls who know neither victory nor defeat."-Theodore Roosevelt
 
Sanda Matuta

Sanda Matuta

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2007
Messages
950
Likes
12
Points
0
Sanda Matuta

Sanda Matuta

JF-Expert Member
Joined May 9, 2007
950 12 0
Tofauti na kanuni za kibaiolojia ambapo mtoto hazaliwi akaanza kutambaa siku hiyohiyo,sheria za JF hazimkatazi mwana-forum mpya kuto-post mchango wake siku anayojiunga.Naamini wewe kama mwana-forum wa siku nyingi unafahamu hilo fika.

Nimeijuaje JF?Labda kabla sijakujibu swali hilo nikuulize wewe uliijuaje kabla hujajiunga.Naamini jibu lako litakuwa sambamba kabisa na langu.

Said Yakub hakufunga blog kutokana na criticism za wasomaji wake bali kutokana na muingiliano wa maslahi ya kitaaluma na mwajiri wake (BBC).Lakini hata kama hiyo isingekuwa sababu,uamuzi wa kuanzisha au kufunga blog ni wa mtu binafsi.

Kuhusu criticism,mie naamini kwamba ninapokosolewa inamaanisha something as opposed to nothing,kwani ni vigumu mtu kukukosoa kama anaamini kuwa anachokikosoa hakina umuhimu.Pengine tunaweza kuafikiana na hawa waungwana hapa chini:

“Criticism may not be agreeable, but it is necessary. It fulfils the same function as pain in the human body. It calls attention to an unhealthy state of things.”-Winston Churchill

“If you have no critics you'll likely have no success.”-Malcom X

“It is not the critic who counts; not the man who points out how the strong man stumbles, or where the doer of deeds could have done them better. The credit belongs to the man who is actually in the arena, whose face is marred by dust and sweat and blood, who strives valiantly; who errs and comes short again and again; because there is not effort without error and shortcomings; but who does actually strive to do the deed; who knows the great enthusiasm, the great devotion, who spends himself in a worthy cause, who at the best knows in the end the triumph of high achievement and who at the worst, if he fails, at least he fails while daring greatly. So that his place shall never be with those cold and timid souls who know neither victory nor defeat.”-Theodore Roosevelt

Hii Safi sana,
Alafu unajua kwamba kuna wengine tulii jua JF muda mrefu lakiniu kwanza tulihitaji muda wa kuona nini kinaendelea na kama kina maantiki tulikuwepo lakini kama GUESTS tu.
Kwa hiyo nina choitaka kusema tusiwa judge watu kwa posts ngapi wanazo!?
After all unaweza kusoma tu na ikasaidia lafu zaidi...si lazima uchangie kwenye kila thread
 
U

under_age

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2007
Messages
317
Likes
40
Points
0
U

under_age

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2007
317 40 0
shukran yakhe kwa kutuanzishia blogu mpya.
na sanda matuta umeongea kweli tupu
 
Forum statistics

Threads 1,238,682
Members 476,113
Posts 29,326,400