Karibuni tupate kifungua kinywa...!!!

hahahaaaa watu8 umenichekesha halafu huwa vinanukia hivyo....pale ubungo naonaga sana
Hahaha wala sitanii...kitumbua kimoja ni shilingi 200 tu, nikikusanya zile chenji za daladala basi napata viwili vitatu vya kusukutua mdomo nikijongea taratibu nyumbani...
 
kuna vitumbua vidogo na vikubwa hivyo naona ni vidogo
 
Huwa nakula sana hii makitu muda wa jioni...kwenye vituo vya daladala huwa kuna wale vijana wanavipika hivi na kuviuza.

Basi nikishatoka kwenye shughuli zangu za kubeba zege huwa nashusha viwili vitatu kabla ya kwenda kuegesha...




Shem watu8 unamaanisha dada yangu hakupikii jioni!??
 
Last edited by a moderator:
Aise ni vitamu sana na pia hua vinamchango mkubwa sana wa kusababisha presha kwani hua vinameza sana mafuta!ila ni vitam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…