donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,522
Hapa nakula vitumbua wewe unanionyesha supu, sio vzr
Nimeshagonga kiporo safi cha seleboboo nipo vizuri.
Karibu tena mkuuAhsante
Mbona ndizi nying kuliko nyamaSafi mkuu mwili huwa haujengwi kwa matofari bali kwa lishe bora na wewe pia karibu
Hiyo supu umeiwahi kabla haijazimuliwa, au wewe ndio mpishi umejichotea cream mapema?.
nyama nimezitafuna mwanzo hapo nimebakiza supu kusukumia ndizi si unajuwa huwa zinakaba!Mbona ndizi nying kuliko nyama
Wapenda nyama bibieMbona ndizi nying kuliko nyama
Hapa nakula vitumbua wewe unanionyesha supu, sio vzr
Aikambe mkuuSafi mkuu mwili huwa haujengwi kwa matofari bali kwa lishe bora na wewe pia karibu
HeheHiyo supu umeiwahi kabla haijazimuliwa, au wewe ndio mpishi umejichotea cream mapema?.
Hiyo inaitwa ndizi supu sio supu ndiziMbona ndizi nying kuliko nyama
Naueelewa sana uji wa nganoMimi nimeanza na uji wa ngano kwa chapati.
Hahaha Aya bwanaHiyo inaitwa ndizi supu sio supu ndizi