donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
[emoji28] [emoji28] [emoji28]Hapa nakula vitumbua wewe unanionyesha supu, sio vzr
[emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nimeshagonga kiporo safi cha seleboboo nipo vizuri.
Karibu tena mkuuAhsante
Mbona ndizi nying kuliko nyama [emoji14]Safi mkuu mwili huwa haujengwi kwa matofari bali kwa lishe bora na wewe pia karibu![]()
Hiyo supu umeiwahi kabla haijazimuliwa, au wewe ndio mpishi umejichotea cream mapema?.
nyama nimezitafuna mwanzo hapo nimebakiza supu kusukumia ndizi si unajuwa huwa zinakaba!Mbona ndizi nying kuliko nyama [emoji14]
Wapenda nyama bibieMbona ndizi nying kuliko nyama [emoji14]
Hapa nakula vitumbua wewe unanionyesha supu, sio vzr
Aikambe mkuuSafi mkuu mwili huwa haujengwi kwa matofari bali kwa lishe bora na wewe pia karibu![]()
HeheHiyo supu umeiwahi kabla haijazimuliwa, au wewe ndio mpishi umejichotea cream mapema?.
Hiyo inaitwa ndizi supu sio supu ndiziMbona ndizi nying kuliko nyama [emoji14]
Naueelewa sana uji wa nganoMimi nimeanza na uji wa ngano kwa chapati.
Hahaha Aya bwanaHiyo inaitwa ndizi supu sio supu ndizi