Karibuni Tabora asali inakotokea

Karibuni Tabora asali inakotokea

Hivi naomba kuuliza....

Tumbaku ina Nicotine ama Nicotine huwekwa kwenye tumbaku ikifika kiwandani tena kwa baadhi tu ya sigara..

Niliaminishwa kuwa sigara kali ni salama zaidi sababu haina nicotine ni tumbaku asilia..

Tafadhali

Duuh na mimi najifunza ngoja nisikilize wajuvi waje watudadavulie
 
Ulimholaaa ......

Poleni kwa kukazwa na vyuma basi mie leo nawakaribisha Tabora kwetu mle karanga na asali, matobolwa, mahama na mziki wa kinyamwezi juu.

View attachment 654603
Karibuni karanga...

View attachment 654605
Jisevie mwenyewe karanga na asali kwa raha zetu wanyamwezi na standard gauge ndo hiyoo inakuja hata kama ni baada ya miaka 10 ijayo....




Najivunia kuwa mnyamwezi aliyechovyea Tanga. Mashika mashika mashilongo hoyeeeee.

Koolooompaaaa.

NB: leo tangu asubuhi kuna kisa cha kweli natamani kukisimulia ila roho inasita. Basi wacha nimtakie mhusika wa hicho kisa heri ya siku ya kuzaliwa, leo tarehe 19.12.2017.... iko siku nikipata kibali ntaeleza hapa yote moyo wangu uwe huru, maana ulinitafuta mwenyewe mwaka huu.

Kasie Mahabat Matata Motoo.

Wawezya yayuuuuu!
 
Baby angu Kasie let me sleep my dear... Si unajua tena usiku saizi. See you tomorrow baby. God bless you my. Nakupenda eeeeh
 
Kasie umenitajia mboga zangu aisee. Come close my baby tuongee cha nyumbani...

Hahahahaaa wajua nini, nafikiri tungefanya tamasha la wanyamwezi Dar aidha makumbusho pale kijitonyama au viwanja vya leaders hapo kiwe na vyakula vya asili vya kinyamwezi maonesho ya elimu za kimila enzi hizo, vitabu vya kilugha na tafsiri zake kwa kiswahili hasa kwa wataopenda kujifunza lugha, ngoma za asili ila sio za mizimu..... na mambo kadha wa kadha ya kinyamwezi. Hiyo itatupa fursa wanyamwezi kukutana na kufurahia siku yetu.
 
Tatizo la asali ya Tabora huwa inachanganywa sana na bangi pamoja na mirungi, si kama ile ya zamani original. Hii kuleni wenyewe, wengine bangi hazipandi kichwani.
 
Nami nimefurahi kuwafahamu wanyamwezi wenzangu. Tabora mojaa, malkia mwenyewe (Queen Elizabeth) alitukubali alifika hadi Tabora miaka hiyo hapana chezea asali hehehehe.
Wanyamwezi oyeeh!! Japo naambiwa asili ya baba ni msumbwa

Siku moja karibu kigamboni dada yangu
 
Hahahahaaa wajua nini, nafikiri tungefanya tamasha la wanyamwezi Dar aidha makumbusho pale kijitonyama au viwanja vya leaders hapo kiwe na vyakula vya asili vya kinyamwezi maonesho ya elimu za kimila enzi hizo, vitabu vya kilugha na tafsiri zake kwa kiswahili hasa kwa wataopenda kujifunza lugha, ngoma za asili ila sio za mizimu..... na mambo kadha wa kadha ya kinyamwezi. Hiyo itatupa fursa wanyamwezi kukutana na kufurahia siku yetu.
Good idea my baby... Sasa tunalijengaje hilo sasa baby?

Na unajua dar ni kwa watani wetu so km tutaifanya hiyo kitu inaweza kubamba mbaya alafu kitu ingine mi naweza ongea na ma expat kadhaa tukaitangaza vizuri so at last watu watakao hudhuria si wanyamwezi tu. Watahuzuria watu mbali mbali ambao wengine watakuja kujifunza history ya wanyamwezi na mila zao etc. Na km hiyo kitu inanza mapema unaweza mualika waziri WA husika wa wizara hiyo. Tukatafuta wadhamini, tukatangaza biashara zao, wakaifanisha shughuli yetu. Na pia tukaziweka fursa zinazopatikana Tbr kwa wajasiria Mali wanaotaka kuwekeza tbr. In fact tukafanya vitu vingi...

Kasie mi naishi Dar aise, I have seen you have come up with good idea. Can we work on that?
 
Back
Top Bottom