wamaukweli
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 1,084
- 1,277
Ulimholaaa ......
Poleni kwa kukazwa na vyuma basi mie leo nawakaribisha Tabora kwetu mle karanga na asali, matobolwa, mahama na mziki wa kinyamwezi juu.
View attachment 654603
Karibuni karanga...
View attachment 654605
Jisevie mwenyewe karanga na asali kwa raha zetu wanyamwezi na standard gauge ndo hiyoo inakuja hata kama ni baada ya miaka 10 ijayo....
Najivunia kuwa mnyamwezi aliyechovyea Tanga. Mashika mashika mashilongo hoyeeeee.
Koolooompaaaa.
NB: leo tangu asubuhi kuna kisa cha kweli natamani kukisimulia ila roho inasita. Basi wacha nimtakie mhusika wa hicho kisa heri ya siku ya kuzaliwa, leo tarehe 19.12.2017.... iko siku nikipata kibali ntaeleza hapa yote moyo wangu uwe huru, maana ulinitafuta mwenyewe mwaka huu.
Kasie Mahabat Matata Motoo.
Kumbe nandugu huku,najivunia kuwa mnyamwezi wa chabutwa na skonge