Niliipenda ile.Siwezi kuitumia, nilivuruga password kwa kughafirika nilipo rudi kuwa sawa sikuweza kuikumbuka password. Backup email niliyo tumia kwenye ID ya Kasinde password yake pia niliivuruga. Niliwaomba mods waiunge ID ya Kasinde na hii ya Kasie ili iwe moja naona imeshindikana maana hawajafanya hivo.
Hivo naendelea na hii ya Kasie japo natamani sana ile ya Kasinde iunganishwe na hii ya Kasie.
Poa, ntafarijika mnoo ukifika.Ooyeeeh. Ooh haina tabu bado sie ni wamoja, wanyamwezi na wasukuma ni walewale ni mtu na binamu yake hivyo hatudhuriani.
Ooh haina shaka, nashukuru kwa mualiko ntafika huko kigamboni, ngoja nichungulie ratiba yangu nione wapi naweza kuweka miadi.
Sio visa my dear. Mapendo yamejaa tele kwako.Hahahahaaa una visa wewee looh.
Asante kwa pendo mubashara nami narudisha upendo kwako mara mia.
Wee wapende wengine lkn sio Kasie wanguKasie Tabora sehemu gn? Nilikaa miaka 4 huko.
Aisee I love nyamwezi ladies
msalimie leprofeseli japo skukuu huwa harudi hom kutusalimiaTabora sehem gani?!
Kijijini kwetu ilolanguru
Niliipenda ile.
ever smiling kasiee
Hivi kuna wanyamwezi na wankonongo?Hahahahahaa kumbe wewe ni mnyamwezi mwenzangu hehehehehehee mwangalukah! Ulimholaaa. ....
Kwetu ni karibu na Itigi unatembea kwa miguu tuu.
Wamilemoo Nokia.
kumbe tumekazwa na Vyuma ..
zamani watu walikuwa wanakazwa na popobawa
sikuhizi wanakazwa na Vyuma daaahhh '''
ccm imetuletea maendeleo ..mkuu
hahaaa daahhh kwahiyo grisi sikuhizi imekuwa deal namna hiyo .Hahahahaaa ndo msemo unaobamba sasa hivi hata mkulu mwenyewe alisema tuvilainishe hivyo vyuma ili msuguano usituchubue au kuumiza heheheheh
Utakuja kusikia huko gereji grisi imeadimika na madukani imepanda bei aaahahahahhahaa
Sema mabanda yenu...Tabora hakuna nyumba.Nyumba zetu zinatizamana