Karibuni Tabora asali inakotokea

Karibuni Tabora asali inakotokea

Hehehehehe wapi mapema mwaya, sass hivi grisi itakuwa dili kuliko makinikia na itakuwa bidhaa muhimu kuliko sukari.
kama mpaka mkuu keshasema kuwa tupake grisi bhasi nisijefikwa namshangao pindi nitakapo fika k.koo nakuambiwa kuwa zimeshaisha na mzigo nimpka week ijayo
hahaaa tupake grisi tumeshakuwa mashine sasa na machine zitatumia nini ...sindio mwanzo waku nock engine huu...

lakini mkuu kesi serikali hii siilipiga marufuku kuhusu matumizi ya vilainishi....hahahaaaaa
 
Mmhh ngoja tuliache hili jambo hapo umekumbushia vilainishi tusijeambiwa tu wachochezi hehehehehe
 
Ulimholaaa ......

Poleni kwa kukazwa na vyuma basi mie leo nawakaribisha Tabora kwetu mle karanga na asali, matobolwa, mahama na mziki wa kinyamwezi juu.

View attachment 654603
Karibuni karanga...

View attachment 654605
Jisevie mwenyewe karanga na asali kwa raha zetu wanyamwezi na standard gauge ndo hiyoo inakuja hata kama ni baada ya miaka 10 ijayo....

Najivunia kuwa mnyamwezi aliyechovyea Tanga. Mashika mashika mashilongo hoyeeeee.

Koolooompaaaa.

NB: leo tangu asubuhi kuna kisa cha kweli natamani kukisimulia ila roho inasita. Basi wacha nimtakie mhusika wa hicho kisa heri ya siku ya kuzaliwa, leo tarehe 19.12.2017.... iko siku nikipata kibali ntaeleza hapa yote moyo wangu uwe huru, maana ulinitafuta mwenyewe mwaka huu.

Kasie Mahabat Matata Motoo.

Hivi wanyamwezi nao wanakeket ile kitu au kama siyo naja kuoa ila ikiwa ndio noooooh
 
Wanyamez wenzangu kumbe wapo ..mimi wa nzega ila nilizaliwa kitete nimekulia mtaa wa rufita tabora mjin
 
Hahahahaaa usiwapige biti hivo wazi wazi watanipania waniibe heheheheh
Lazima niwapige biti mana wanakuja kasi sn na kuanza kusifia Mara oooh wanawake wa Tbr kumbe macho kodo kwa Kasie wangu. Ujue mie napenda vibaya. Napenda for real hadi waweza ona kero
 
Haya Matunda ya Kinyamwezi ni hatari. Ila Matonga nayapenda siyo siri. Yanasaidia sana ukiwa na njaa msituni.
Uje na Nfulu na Ntalali na mantonga na mbuguswa na ndati na magongoti na misalasi na Zambarau na mapera hahahaaaa Kasie wangu upo eeeeh
 
Lazima niwapige biti mana wanakuja kasi sn na kuanza kusifia Mara oooh wanawake wa Tbr kumbe macho kodo kwa Kasie wangu. Ujue mie napenda vibaya. Napenda for real hadi waweza ona kero

Hahahahahhaa haya babaa atamia himaya yako wajue uko macho.
Ila wivu hautakiwi kuzidi sana wee wekeza nguvu nyingi kutafuta hela.
 
Hahahahahhaa haya babaa atamia himaya yako wajue uko macho.
Ila wivu hautakiwi kuzidi sana wee wekeza nguvu nyingi kutafuta hela.
Pesa natafuta sn baby wangu maana najua Kasie wangu mie mapumziko yake ni Bahama island au Guam. Sasa bila kukazana ngosha mie si itakua balaa.

Alafu isitoshe baby, mahaba bila ya wivu hayo si Mahala. Wacha mie nkupende vzr haswa na nikuonee wivu kabisa mana we ni wangu na wivu ni Suna....
 
Hivi naomba kuuliza....

Tumbaku ina Nicotine ama Nicotine huwekwa kwenye tumbaku ikifika kiwandani tena kwa baadhi tu ya sigara..

Niliaminishwa kuwa sigara kali ni salama zaidi sababu haina nicotine ni tumbaku asilia..

Tafadhali

Duuuh kuuliza siyo ujinga. Nicotine ndiyo madini yenyewe ama kwa lugha nyingine ndiyo mali yenyewe haswaaa na.si makinikia. Ndiyo ile kitu yenyewe ikivutwa au ikatafunwa inaleta ile nishahi 'feelings', msisimko, na kuraha ndani ya ubongo na mtu kujikuta anaondoa msongo wa mawazo na wasiwasi. Na hii kitu ndugu yangu haiwekwi kiwandani ila inapatikana kwenye majani ya mtumbaku.
 
Pesa natafuta sn baby wangu maana najua Kasie wangu mie mapumziko yake ni Bahama island au Guam. Sasa bila kukazana ngosha mie si itakua balaa.

Alafu isitoshe baby, mahaba bila ya wivu hayo si Mahala. Wacha mie nkupende vzr haswa na nikuonee wivu kabisa mana we ni wangu na wivu ni Suna....

Hapo sawa....
 
Back
Top Bottom