Kwa wageni tutawaonjesha zile ambazo zimesiginwa kiasili.....Ukifika Tabora asali na karanga utapata tuu, wanyamwezi tu wakarimu sana hasa kwenye chakula.
Kwa wageni tutawaonjesha zile ambazo zimesiginwa kiasili.....Ukifika Tabora asali na karanga utapata tuu, wanyamwezi tu wakarimu sana hasa kwenye chakula.
Why do you like rho...mbooo...ids?
Ukifika msimu wa embe, mji mzima unasikia harufu ya embe tu...Kabisaaa.... vyakula vya kiasili vya kinyamwezi ni vitamu mnoo hasa zile mboga za karanga weeh ukija matunda daah acha tuu kwakweli tumependelewa.
Tatizo la asali ya Tabora huwa inachanganywa sana na bangi pamoja na mirungi, si kama ile ya zamani original. Hii kuleni wenyewe, wengine bangi hazipandi kichwani.
Wanyamwezi oyeeh!! Japo naambiwa asili ya baba ni msumbwa
Siku moja karibu kigamboni dada yangu
Good idea my baby... Sasa tunalijengaje hilo sasa baby?
Na unajua dar ni kwa watani wetu so km tutaifanya hiyo kitu inaweza kubamba mbaya alafu kitu ingine mi naweza ongea na ma expat kadhaa tukaitangaza vizuri so at last watu watakao hudhuria si wanyamwezi tu. Watahuzuria watu mbali mbali ambao wengine watakuja kujifunza history ya wanyamwezi na mila zao etc. Na km hiyo kitu inanza mapema unaweza mualika waziri WA husika wa wizara hiyo. Tukatafuta wadhamini, tukatangaza biashara zao, wakaifanisha shughuli yetu. Na pia tukaziweka fursa zinazopatikana Tbr kwa wajasiria Mali wanaotaka kuwekeza tbr. In fact tukafanya vitu vingi...
Kasie mi naishi Dar aise, I have seen you have come up with good idea. Can we work on that?
hahaha ahsaante saana.....Karibuu, ila kama unataka kuja kwangu mahsusi basi usubirie siku nikienda Tabora nakualika na ntakuandalia vyakula vyote vya kinyamwezi. Karibu sana Tabora.
Nataka na wewe uwe km muandaaji mkuu my babyHello mambo, kuhusu kunifanyia kazi hili swala mie nimekupa lote, natamani ningekuwa na nafasi niingine fonti kulishughulikia mwanzo mwisho ila sasa nafasi yangu ni finyu mnoo. Ila ukiweza kuungana na wengine mkapata team au kamati mkashirikiana kuiandaa hii siku ya wanyamwezi mtutaarifu mapemaa tarehe ya tukio, aah lazima niwepo hiyo siku kuanzia alfajiri hadi usiku mnene. Ikifanikiwa hiyo siku itakuwa nzuri sana.
hahaha ahsaante saana.....
kumbe unapiga upatu alaf wewe mwenyewe upo mjini hapa haha basi fanya kuviandaa hapa hapa mujini au sio.
Jamanii kumkaribisha mtu nyumbani sikumaanisha anikute mie, wanyamwezi tu wakarimu sana atawakuta binamu zangu kule na atakirimiwa mnoo na siku ya kuondoka kama anauwezo wa kubeba mizigo atafungashiwa mizigo lukukii.
Mie siishi Tabora kuke nafanya kwenda mara moja moja. Naishi kwingine kikazi ila nikiwa likizo au odd days ndo napatikana mjini ila likizo kubwa hata mjini sipatikaniki nadakwa juu kwa juu.
OK....Labda niwepo remotely maana sitokuwepo mjini ntakuwa kazini best. Ila siku ya tukio piga ua ntakuwepo.