Ghorofa ya kwanza Mbinga Mjini mali ya Bafreyi wamatengo huwaambii kitu kuhusu bafreyiUmesahau kwa tajiri Bafreyi
Umemsahau SHEKILAND tajir wa enz hizoNo matter where you go, remember the road that will lead you home. Mbinga my hometown nina kumbukumbu nyingi sana ndio sehemu niliyofall in love for the first time kubwa upatikanaji wa chakula cha kutosha nimemiss pitiku kipindi cha mvua mboga ya chainizi inayokaangwa na mafuta ya nguruwe na ugali mkubwa.
Disko Mbicu hotel nikiwa nimetupia form six kubwa na suruali ya kubana chini nikiwa nimevalia raba kali mkononi nina pakti ya reds nainyonya na hiyo ni baada ya kula pilau la kutosha home.
Route za studio PS records na mwanangu wa faida kwenda kurekodi.
Wapi Komba Dae, Kusile, Andoya, Mdaka Five ila kwa sasa nasikia kuna matajiri wengine it's been a while
Ruhuwiko, Matalawe, FurahaStore, Mbuyula, Kiwandani, Jimboni, Misheni, Mbinga Day, Mbambi, Makita.
Yote kwa Yote lile Baridi na Udongo mwekundu litanifanya niendelee kuwa Diaspora.
Hiv kile koghorofa chake Bado kipoUmesahau kwa tajiri Bafreyi
Pachafu sana hapo. Matapu tapu kama yote. Aende baa ya Lashumta ya bidada mmoja shangingi hivi (in those days).Karibu lizaboni NYAMA za mbuzi, nipo hapa nakula mishikaki mida hii.
Asante mkuuUkipata muda njoo hapa peramiho ule SAUSAGE. za ukweli sio hizo Dona za dsm
Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana au Serengeti. Equator nayo ipo ya wadada low class ( kwa miaka hiyo).Yapenda mtini
Kadogo bado ipo?Achana na La Chalz, kiwanja kinachobamba siku za hivi karibuni ni Chanta BuL hapo bomba mbili, njiani kabisaaa.
Hakika na mm nimekumbuka,mkako,kigonsera,liganga,litui,lipumba,mbinga,mbambabei,litembo etcNimeimiss songea,nilikaa peramiho mwaka 2001,nakumbuka baadhi ya maeneo ya songea kama vile ruhuwiko,lipokela ,chaburma,kigonsera ,mpitimbi, mlalo,nk. Na kila jumamosi nilifanikiwa kusali ktk kanisa kubwa la sabato hapo mjini
Mkeke ,mkesu, paradise, lituhi wapi kitaiHakika na mm nimekumbuka,mkako,kigonsera,liganga,litui,lipumba,mbinga,mbambabei,litembo etc
Niliishi hapo 2013
Umepasahau MatiliHakika na mm nimekumbuka,mkako,kigonsera,liganga,litui,lipumba,mbinga,mbambabei,litembo etc
Niliishi hapo 2013
Yaani msabato atafanya vyovyote vile Ili ajitambulishe kuwa ni msabato🤣🤣(sasa kanisa kubwa ukilinganisha na lipi?)Nimeimiss songea,nilikaa peramiho mwaka 2001,nakumbuka baadhi ya maeneo ya songea kama vile ruhuwiko,lipokela ,chaburma,kigonsera ,mpitimbi, mlalo,nk. Na kila jumamosi nilifanikiwa kusali ktk kanisa kubwa la sabato hapo mjini
Naomba usikilizweDaima nitapapenda songea
Daima nitapapenda yapenda mtini
Jana nimepata kufika kwa ndugu zangu wakina Komba, Mapunda na Nyoni. Kwa kweli ni wakarimu sana, kufika tu jana hiyo hiyo nikakaribishwa nyama ya porini na ubaga.
Nipo hapa Mshangano kwasasa ila badae jioni nitasogea maeneo ya Lacharz hapo nimesikia panakucha sana mida ya night.
Songea pako vizuri ila kwasasa kuna baridi limeanza. Pia mavuno yameanza, ulevi wa kutosha hivyo kama unakunywa utakutana na hizi pombe
Komoni
Myakaya
Wanzuki
Ulanzi
Chimpumu (hii hunywi mpaka ipashwe jikoni)
Karibuni Songea
Pas p bado anarekodi hapo PS records, nilitembelea hapo nikakuta nyimbo zake zinabamba nikamchukue nikampleka DSM studio nzuri akafanya single na bibi Yule aliyekuwa tmk nimemsahau jina somebody bb Cheka single haijafanyiwa mixing dogo kashairusha you tube, radio za kusini zimeanza kuipiga dogo kaenda mpakani huko sifuri d anafanya, niliwachukua watatu mmoja makambako anaitwa b2k mwingine Kaiser niliwapeleka studio nzuri AM records, Man selekta, na kwa good luck gozbett but unlikely akili zao zilikua bado hazijafunguka kuiona bright future niliyokuwa najaribu kuwatengenezea.No matter where you go, remember the road that will lead you home. Mbinga my hometown nina kumbukumbu nyingi sana ndio sehemu niliyofall in love for the first time kubwa upatikanaji wa chakula cha kutosha nimemiss pitiku kipindi cha mvua mboga ya chainizi inayokaangwa na mafuta ya nguruwe na ugali mkubwa.
Disko Mbicu hotel nikiwa nimetupia form six kubwa na suruali ya kubana chini nikiwa nimevalia raba kali mkononi nina pakti ya reds nainyonya na hiyo ni baada ya kula pilau la kutosha home.
Route za studio PS records na mwanangu wa faida kwenda kurekodi.
Wapi Komba Dae, Kusile, Andoya, Mdaka Five ila kwa sasa nasikia kuna matajiri wengine it's been a while
Ruhuwiko, Matalawe, FurahaStore, Mbuyula, Kiwandani, Jimboni, Misheni, Mbinga Day, Mbambi, Makita.
Yote kwa Yote lile Baridi na Udongo mwekundu litanifanya niendelee kuwa Diaspora.