Lwagaze
Senior Member
- Jan 5, 2022
- 147
- 278
Ushirikina kila sehemu upo usisingizie Songea tu mbona Sumbawanga wanasifika sana lakin je hakuna wageni na wamefanya maendeleo makubwa tu. Lakin hoja yako ya kutokua na chuo kikuu haina mashiko kwan kuna mikoa mingapi haina vyuo vikuu lakini wanaishi tu. Acha wivu na Dharau za kijinga karibu tule ulusiti a.k.a wakurya wanaita kichuri