Karibuni Songea

Karibuni Songea

[emoji445]Nihamba lepa mpaka nimala ugimbi eeeh..... Haiwezekaniiii.... Haiwezekaniiii... Eeeh... Mpaka nimala ugimbi [emoji444] [emoji444]
 
"Mwenuyu wanene mkoto kuni wonela wihu we mtama na kumanya"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wimbo wa madogolii, bas hapo sio vijana wala wazee full vumbi kutimka.
 
"Oooheee ooohee, kandindi kandikulila kandindi kandikulila, wee ugale wa mayau hunoga na chidoyoo" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hapo nakata uno km feni mbovu isiyo na break. Mweeeeeh
 
"Wee kamwali wetu aaaee aaaee aaaee, we kamwali wetu aaaeee aaaee aaaeee, chindu kukita heluuu, heluwaa helu helu heluwaa"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kunyumba kuvavikeeee.
 
Ottawa alifurushwa na wananchi, baada ya kugundulika kumbe yeye ndo alikua anamtuma mama chaulembo kuvuna viungo vya binadamu, maana amenunua misukulee wee haikutoshaa.

Ndo amekimbilia makambakooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daaah alikua mjinga saana Otawa bas tu
 
Nmemic misosi ya kunyumba wengaa chikande, uyoga ulelema unguyugu, mangatungu pembeni masuku na Mafinga daaah jaman mtaniua apoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom