Mimi nakumbuka madem wengi wa songea wana vikwapa hatariMademu wa songea hawafui chupi na wanapendelea chupi nyeusi.
Mimi nakumbuka madem wengi wa songea wana vikwapa hatariMademu wa songea hawafui chupi na wanapendelea chupi nyeusi.
MangatunguNmemic misosi ya kunyumba wengaa chikande, uyoga ulelema unguyugu, mangatungu pembeni masuku na Mafinga daaah jaman mtaniua apoo![]()


Bamboo juice dah! Nimekumbuka zamaniPls sogea huku namtumbo, kijiji cha lingusenguse nikupatie ulanzi, on the way salimia hapo box 2,Lumecha, Namabengo, Litola, Kumbara, Lwegu, Nyalamatata then ...lingusenguse
Hahaha kweli aiseeSongea pana wachumba flan iv aisee
Dah aisee kule kwetu namtumbo kwakweli kumezidi sana kuanzia babu, bibi, shangazi, ba mdogo yan wote wanga acha tu labda kwenu uko peramio hakuna wangaSasa kuna sehemu hakuna uchawiiii??![]()




Kila sehemu uchawi upooo,Dah aisee kule kwetu namtumbo kwakweli kumezidi sana kuanzia babu, bibi, shangazi, ba mdogo yan wote wanga acha tu labda kwenu uko peramio hakuna wanga![]()






Chuo cha kati kipo bhana, kuhusu roho mbaya uongo, hakuna mkoa ambao wageni wanafanya maendeleo kwa uhuru km Ruvuma.Songea ni mkoa ambao unaongoza Kwa watu wenye roho mbaya na ubinafsi hususan wanapoona mtu mgeni anafanya maendeleo,, ni mkoa ambao una fulsa nyingi lkn wenyeji wamekuwa vipofu na kuzingatia ushirikina, Songea hakuna chuo kikuu hata kimoja yaan ni mkoa ambao bado upo nyuma mnooo,, jitahidin mbadilike jamani hiii nchi yetu sote
Madonga, mayau yau, magimbi,Nmemic misosi ya kunyumba wengaa chikande, uyoga ulelema unguyugu, mangatungu pembeni masuku na Mafinga daaah jaman mtaniua apoo![]()





Sio vikwapa tuu, Kuna kitu inaitwa UTI sugu hahahaha hatari weweMimi nakumbuka madem wengi wa songea wana vikwapa hatari
Chuo cha kati kipo bhana, kuhusu roho mbaya uongo, hakuna mkoa ambao wageni wanafanya maendeleo kwa uhuru km Ruvuma.
Wenyeji vipofu kwa kipii? Useme viongozi wetu ndo wanashindwa kutuletea nyenzo za kuweza kuleta maendeleo.
sawa ka mkubwaEeh ndiyooooo.sawa ka mkubwa
Msalimie father Paroko wa Hapo Namabengo, kipindi nimekuja huko mwaka juzi nilikuwa nakutana nae sana hapo Grocery karibu na kanisa la walokole huko nilikuwa nakuja Saa 3 usiku nageuza mjini saa 6 usikuAhh Mimi wa Namabengo
Duh wakunyumba achana na watu wa songeaKila sehemu uchawi upooo,
Binti ndembo alifanya kunyoa watu na kusafisha lakini wapiii.
Kalembwani na yeye kafanya wee hollah. Famchezo na vibuyu nn.



nakwambia kwetu wamenyolewa kipindi hicho na kalembwani piga mapala yakutosha lkn wapi

ndio kwanza wamechochewa yan ni shida kweli kweliHaahaaJumapili mkumbuke kusali kwa SuperCharger uelekeo Shule ya Tanga
huyo super charger nimesikia alipata scandal ya kupita na mke wa mjeda, wajeda nao wakapita nae. Nasikia alikuwa hoi hadi alilazwaSio sana mkuu kidooogo kiasi cha mboga tuMnaturingishia mkoa wenu haters tumechukia.
Mkuu songea ni manispaa, Bado haijawa mkoa.Songea ni mkoa ambao unaongoza Kwa watu wenye roho mbaya na ubinafsi hususan wanapoona mtu mgeni anafanya maendeleo,, ni mkoa ambao una fulsa nyingi lkn wenyeji wamekuwa vipofu na kuzingatia ushirikina, Songea hakuna chuo kikuu hata kimoja yaan ni mkoa ambao bado upo nyuma mnooo,, jitahidin mbadilike jamani hiii nchi yetu sote