Lwagaze
Senior Member
- Jan 5, 2022
- 147
- 278
Duuuh wa ni balaa Dumila mbili kabisaaa jaman [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji188][emoji188][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie ulanzii nakunywa hata dumla 2 pekee anguu.
Duuuh wa ni balaa Dumila mbili kabisaaa jaman [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji188][emoji188][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie ulanzii nakunywa hata dumla 2 pekee anguu.
Umesahau na alooo vp! Unasemajeee! Kyaaani veve mlongo vangu"Sasa wee jeee kunitazama hivyo"
"Hivi we mtu jeee"
"Vipi jeee hapo"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwetu pazuriiiii
Nikija itabidi niende nikazimue [emoji1787] nikumbukie way back
Hiyo mkuu sheria yake kabla ya kunywa inabidi iwekwe jikoni kidooogo ipate moto ili upate starter vizuri ukinywa. Niliwahi kunywa Mbinga kwenye kilabu cha manzese bondeni kule 2008 hiyoAsante.
I'm interested here. Hii ipoje
Hapana, inaitwa pacific park opposite ya CRDBHapo si ndo pale stend?
No ! ni sehemu ipo karibia na CRDB imefunguliwa recently like 5 days agoEagles
😂 😂 Umetisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko ndo kwenyewee, mbna naendaga nabeba na ndoo ndogo (kasekondari), woiiiiiih
Sawa sawa!Asante. Nimelikumbuka jina la huyo mzee anaitwa mzee Mgaya
Crdb?? walevi watapotelea makaburini,No ! ni sehemu ipo karibia na CRDB imefunguliwa recently like 5 days ago
Utaenda na manzese pale Ukanywe madungu[emoji23],,nyie mnapenda pombe looohNikija itabidi niende nikazimue [emoji1787] nikumbukie way back
Jamani huku mtuache wakunyumba, nyie ambao kwenu ndo kuzuri na kwa kijanja sio shida zetu, mbna mnatesekaa sanaaa??Umemaliza nashangaa wangoni wanavyojisifia hapo juu
Nimekaa Wiki mbili huko kwa kishamba sana, kiwanja ni La charz tu kwahy watu wote mji uwo utawakuta hapo afu ni sehem ndogo
Mji hauna mishe mishe, mishe hadi misimu ya mazao
Hapo ukiwaondoa Wanajesh kamb za chabruma sijui Ruhuwiko na kamb zingine zile km unaenda mbinga na ishu ya makaa ya mawe panakuwa Dormant town.
Maana wanaume wa huko wanashindwa kulipa Bill wakiingya kwenye kumbi za starehe coz hawana cash.
Kama Hapo Lacharz inajaza askar na watumishi wengine siyo wenyeji na ukimuona mgeni ameingiya la charz ujue anunui bia anaingy amelewa kutoka nje.
Kuhusu totoz hatari, where you are Fetty wa mfaranyaki? demu flani anajua hatari, ila amechuja itakuwa maana anagawa vibaya mno
Kiwanja changu kilikuwa Eliza Liquor store. Nilichukua chumba sehem flan wanaita zwangendaba
Ila wapi sio kwa kishambaa? Na huko kigonsera sec mjanja wee ulifuata nn? Unachekeshaaaa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilipita hapo wakat naenda Kigonsera sec mwaka 2016 ni mji flani hivi wa kishamba sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kipindi cha kiangazi kama ni mtu wa peku peku funza unao.
Ila kitimoto ya songea ni tamu balaa unakula nyama unasikia harufu ya nguruwe, sio dar unakula nyama uku unasikia harufu ya panadol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan songea kila kitu bei chee.Hata hizo lodge zina bei basi[emoji23]
Lodge buku saba
Dumla 2 namaliza ulanzii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuuh wa ni balaa Dumila mbili kabisaaa jaman [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji188][emoji188]
Apu hinu Pena mlongo ulongi chilugha, che cha mgatiiii chene.Umesahau na alooo vp! Unasemajeee! Kyaaani veve mlongo vangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa ulanzii hunitoii hataa.[emoji23] [emoji23] Umetisha
Hamna tuzungumze kwa hoja na ukweli toa hoja itapendeza zaidiJamani huku mtuache wakunyumba, nyie ambao kwenu ndo kuzuri na kwa kijanja sio shida zetu, mbna mnatesekaa sanaaa??
Mtuacheeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hoja gani unataka?? Kwani ktk huu uzi umeona watu wana compare na sehemu ingine? Hapa tupo wakunyumba na wanaoishi hapa tunazungumzia sehemu yetu.Hamna tuzungumze kwa hoja na ukweli toa hoja itapendeza zaidi