Karibuni Songea

Karibuni Songea

Duh wakunyumba achana na watu wa songea[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nakwambia kwetu wamenyolewa kipindi hicho na kalembwani piga mapala yakutosha lkn wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio kwanza wamechochewa yan ni shida kweli kweli
Boss likuyu fusi bado ipo??
 

Jana nimepata kufika kwa ndugu zangu wakina Komba, Mapunda na Nyoni. Kwa kweli ni wakarimu sana, kufika tu jana hiyo hiyo nikakaribishwa nyama ya porini na ubaga.

Nipo hapa Mshangano kwasasa ila badae jioni nitasogea maeneo ya Lacharz hapo nimesikia panakucha sana mida ya night.

Songea pako vizuri ila kwasasa kuna baridi limeanza. Pia mavuno yameanza, ulevi wa kutosha hivyo kama unakunywa utakutana na hizi pombe

Komoni
Myakaya
Wanzuki
Ulanzi
Chimpumu (hii hunywi mpaka ipashwe jikoni)


Karibuni Songea
Ni kweli hakuna Mwanamke wa huko mwenye zaidi ya futi 3 urefu?
 
Bado nipo Song City. Hapa natoka Chanta Buri kupata supu kidogo. cocastic ulisema mwezi huu unakuja vp? [emoji1787]
DSC_0180.JPG
 
Ndio nini?
Damu iliyochemshwa mara nyingi inakuwa ni ya nguruwe inachanganywa na vitu vya ndani kama mapafu, maini au mafuta.

Hii kitu ni maarufu sana ukanda huo mfugo wowote unapochinjwa wanahakikisha wanakinga damu kwa ajili ya ubendi iwe ngombe ama mbuzi.
 
Back
Top Bottom