Karibuni Songea

Karibuni Songea

Songea ndio home boy kabisa hapo sema kinachoniboa huko uchawi sana yani usishangae kila nyumba ni wanga yani kulogana mwanzo mwisho ndio mana hata mzuka wa kuja huko kiukweli sina kabisaa eniwei ndio maskani sema wasalimie wote huko.
 
Litisha, magagula, ngahokora, namatuhi, ndongosi, magwamila, nambendo, muhukuru, matimira, mpitimbi, mpandangindo.
upoooo?
Mlilayoyo, hanga ngadinda, hanga monasteli, mwana monga, mlete, mletele, mdandamo, matogoro, mashujaa, London, Mjimwema, Hivi yule tajiri aliyekua anaitwa Otawa bado yupo jamani
 
Ottawa alifurushwa na wananchi, baada ya kugundulika kumbe yeye ndo alikua anamtuma mama chaulembo kuvuna viungo vya binadamu, maana amenunua misukulee wee haikutoshaa.

Ndo amekimbilia makambakooo
 
Songea ndio home boy kabisa hapo sema kinachoniboa huko uchawi sana yani usishangae kila nyumba ni wanga yani kulogana mwanzo mwisho ndio mana hata mzuka wa kuja huko kiukweli sina kabisaa eniwei ndio maskani sema wasalimie wote huko.
Sasa kuna sehemu hakuna uchawiiii??
 
Back
Top Bottom