Wrevta
JF-Expert Member
- Jan 18, 2023
- 1,442
- 1,733
Wacha weeeApu hinu Pena mlongo ulongi chilugha, che cha mgatiiii chene.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha weeeApu hinu Pena mlongo ulongi chilugha, che cha mgatiiii chene.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hoja gani tena mkuu au haujui kama Songea kuchele [emoji3]Hamna tuzungumze kwa hoja na ukweli toa hoja itapendeza zaidi
hahhahah nmekupenda bure wa kunyumba(kadala)Ndiyo mie hapa ni gu cocastic, gwenye gu ulanzi gukiwa kwenye gu mdumla topu mie nagumaliza gwote fyaaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoni Og hapa,
Hahaha sawa bhana sikupingi siyo kubaya sema dada yako hapo juu nilijaribu kumweleza uhalisia niliyoyaona au labda nilikaa mda mchache siyajui mengi kuhusu hapoHoja gani tena mkuu au haujui kama Songea kuchele [emoji3]
Sijasema kwetu pazuri, Soma tena nilichoandika ndiyo vitu ambavyo niliviona nilipokuja hukoHoja gani unataka?? Kwani ktk huu uzi umeona watu wana compare na sehemu ingine? Hapa tupo wakunyumba na wanaoishi hapa tunazungumzia sehemu yetu.
Nyie ambao mna sehemu zenu nzuri, na za kijanjaa sisi sio shida zetu.
Kwahiyo kwa kuwa kwetu bushi na hakuna cha maana (km ambavyo mnadai) bas tusipazumgumzie? Kheeeh na nye mkazungumzie hizo sehemu zenu nzuri na za kijanja. Wala hakuna anae wazuia.
Mtuachee bhana.
Bas sawaahSijasema kwetu pazuri, Soma tena nilichoandika ndiyo vitu ambavyo niliviona nilipokuja huko
Wewe ujaona nimempa point 3 bibie Fetty wa Mfaranyaki hapo? Nimazur pia niliyoyaona ila vingine kama nimeandika vibaya ndiyo uje upinge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tyanga mboli mboli wenga.hahhahah nmekupenda bure wa kunyumba(kadala)
Woyeeeeeeeeeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Songea oyeeee!!
Ena wengaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wacha weee
Asante [emoji3][emoji1787]Woyeeeeeeeeeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
@cocastic [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Yaani sipendi kiitikio cha Ena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Ena wengaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha eti Litui[emoji23][emoji23][emoji23] Limamu[emoji23][emoji23][emoji23] Mgazini[emoji23][emoji23][emoji23] majina mengine bhana... Coca unapajua kwa diss?Woyeeeeeeeeeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cha bwina wengaaApu hinu Pena mlongo ulongi chilugha, che cha mgatiiii chene.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Limamu nishawah fika uko ni njia moja ka unaenda Lusewa nilienda kwa ishu ya kununua mahindi miaka ya 2005Hahaha eti Litui[emoji23][emoji23][emoji23] Limamu[emoji23][emoji23][emoji23] Mgazini[emoji23][emoji23][emoji23] majina mengine bhana... Coca unapajua kwa diss?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie ndo nshazoeaaa sasa.@cocastic [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Yaani sipendi kiitikio cha Ena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
Litisha, magagula, ngahokora, namatuhi, ndongosi, magwamila, nambendo, muhukuru, matimira, mpitimbi, mpandangindo.Hahaha eti Litui[emoji23][emoji23][emoji23] Limamu[emoji23][emoji23][emoji23] Mgazini[emoji23][emoji23][emoji23] majina mengine bhana... Coca unapajua kwa diss?
I mean kwa diss kitimoto unapajua?[emoji23]Litisha, magagula, ngahokora, namatuhi, ndongosi, magwamila, nambendo, muhukuru, matimira, mpitimbi, mpandangindo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] upoooo?
Ena mlongo, titangatilanahi mewawa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cha bwina wengaa