ndalibanyo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 431
- 432
@
😂 😂 😂 😂 😂 Nenda kwa mzee kajomela kule mshangano/chandarua huukosi msimu wote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulanzi mie nagema mwenyewee, mbeta natengeneza mwenyewee. Nikaa chini kunywa aaah mdogo mdogo, robo zinakata tyuuh hadi dumla 2 fyaaa.