Karibuni Songea

Karibuni Songea

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulanzi mie nagema mwenyewee, mbeta natengeneza mwenyewee. Nikaa chini kunywa aaah mdogo mdogo, robo zinakata tyuuh hadi dumla 2 fyaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee we' mngoni kweli... unajua mpaka dumla?[emoji23][emoji23][emoji23] kweli gwenye hugu ni gucocastic...
 
Ukija sasa inabidi nihakikishe usemayo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee we' mngoni kweli... unajua mpaka dumla?[emoji23][emoji23][emoji23] kweli gwenye hugu ni gucocastic...
Ndiyo mie hapa ni gu cocastic, gwenye gu ulanzi gukiwa kwenye gu mdumla topu mie nagumaliza gwote fyaaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ngoni Og hapa,
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ila coca kumbe wangoni nao wajanja eeh? Mimi nikajua na ujanja wote huo utajuwa Mzaramo wewe
 
Back
Top Bottom