Cymon Taylor
JF-Expert Member
- Apr 3, 2019
- 1,754
- 3,427
- Thread starter
- #301
Upo sahihi sana na hiyo..... Jeee.... Ndo intro ya salamuNimeishi kule mkuu nafahamu baadhi ya vitu... je, nimekosea?![]()
utasikia mtu anakusalimia "bwana we jeee" 
Upo sahihi sana na hiyo..... Jeee.... Ndo intro ya salamuNimeishi kule mkuu nafahamu baadhi ya vitu... je, nimekosea?![]()
utasikia mtu anakusalimia "bwana we jeee" 
Aaaaah wapiii Ngoni Og, kutoka songea 1 hiyooooila coca kumbe wangoni nao wajanja eeh? Mimi nikajua na ujanja wote huo utajuwa Mzaramo wewe







"Sasa wee jeee kunitazama hivyo"Upo sahihi sana na hiyo..... Jeee.... Ndo intro ya salamuutasikia mtu anakusalimia "bwana we jeee"
![]()




kwetu pazuriiiiiHahaaa hii imebidi nicheke. Bwana wee jee? Na yeye akujibu JE?. Kule mbinga kina jamaa mmoja wa kuitwa moris malingana ndio zilikiwa zake hizo.Upo sahihi sana na hiyo..... Jeee.... Ndo intro ya salamuutasikia mtu anakusalimia "bwana we jeee"
![]()
Hapo si ndo pale stend?Chimbo jipya mbingaView attachment 2656744View attachment 2656745
Umemaliza nashangaa wangoni wanavyojisifia hapo juuNilipita hapo wakat naenda Kigonsera sec mwaka 2016 ni mji flani hivi wa kishamba sana
Kama ulikubali show ya Fetty basi huyo Fetty anaishi Songea. Hapo vpUmemaliza nashangaa wangoni wanavyojisifia hapo juu
Nimekaa Wiki mbili huko kwa kishamba sana, kiwanja ni La charz tu kwahy watu wote mji uwo utawakuta hapo afu ni sehem ndogo
Mji hauna mishe mishe, mishe hadi misimu ya mazao
Hapo ukiwaondoa Wanajesh kamb za chabruma sijui Ruhuwiko na kamb zingine zile km unaenda mbinga na ishu ya makaa ya mawe panakuwa Dormant town.
Maana wanaume wa huko wanashindwa kulipa Bill wakiingya kwenye kumbi za starehe coz hawana cash.
Kama Hapo Lacharz inajaza askar na watumishi wengine siyo wenyeji na ukimuona mgeni ameingiya la charz ujue anunui bia anaingy amelewa kutoka nje.
Kuhusu totoz hatari, where you are Fetty wa mfaranyaki? demu flani anajua hatari, ila amechuja itakuwa maana anagawa vibaya mno
Kiwanja changu kilikuwa Eliza Liquor store. Nilichukua chumba sehem flan wanaita zwangendaba
Naipenda ligambusiMie napenda sherehe za kingoni, zikipigwa zile nyimbo zetu, bas nafunga khanga kiunoni, nikianza kusasambua hapo hadi hoi.
![]()

Wanajua kuchezaWameharibu kuzirekodi zilikuwa zinanoga zipigwe laivu band weee![]()
Ukisikia ngoma zinavyopigwa na zile vibes za walevi wa wanzuki ni![]()
EaglesChimbo jipya mbingaView attachment 2656744View attachment 2656745
Mimi niliajiriwa huu Utumishi wa Umma pale Namabengo mwaka 2013. Kulikuwa kuna Kundi pale lina washirishi na waumini wasiozidi 8, yaani siku mkisali na mkasema leo kanisa limefurika ni hao watu 8.Mara nyingi tumesali 2 na hata peke yangu, na nilikuwa siachi kwenda kila Jumamosi. Hakuna cha kwaya wala nini yaani.Nimeimiss songea,nilikaa peramiho mwaka 2001,nakumbuka baadhi ya maeneo ya songea kama vile ruhuwiko,lipokela ,chaburma,kigonsera ,mpitimbi, mlalo,nk. Na kila jumamosi nilifanikiwa kusali ktk kanisa kubwa la sabato hapo mjini





Hatari watoto wa Mfaranyaki na mtaa unaitwa majengo huko ndy kuna namba chafuKama ulikubali show ya Fetty basi huyo Fetty anaishi Songea. Hapo vp