Karibuni, sasa hivi tumeboresha kazi yetu>>>>>>>>

Karibuni, sasa hivi tumeboresha kazi yetu>>>>>>>>

saudari

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
2,655
Reaction score
2,783
kwa mganga.jpg

mganga.jpg
Matatizo mengine tutayaangali kwenye satelite.
 
Laptop iasikia baridi, imebidi iwashiwe moto iote
Network inasumua imembidi afukize, akimaliza hiyo process mambo yanakuwa byeee.

yaani kwa akili yako unaweza kuaguliwa na dokta mwenye afya chafu kama hii?

Kwanini usimwamini???
Mbona unaenda kutibiwa na doctor mwenye afya kama hiyo??
Chamsingi ni imani yako tu.
 
Laptop iasikia baridi, imebidi iwashiwe moto iote
Network inasumbua imembidi afukize, akimaliza hiyo process mambo yanakuwa byeee.

yaani kwa akili yako unaweza kuaguliwa na dokta mwenye afya chafu kama hii?

Kwanini usimwamini???
Mbona unaenda kutibiwa na doctor mwenye afya kama hiyo??
Chamsingi ni imani yako tu.

Karibuni nyote, hamna kutoa damu.
 
Utasikia tunakupa dawa ya utajiri, wakati yeye mwenyewe yupo mbavu za mbwa
 
Utasikia tunakupa dawa ya utajiri, wakati yeye mwenyewe yupo mbavu za mbwa
Naona umesahau kuwa mganga hajigangi,kinyozi hajinyoi na msusi..........hii na we imalizie.
 
yaani kwa akili yako unaweza kuaguliwa na dokta mwenye afya chafu kama hii?
Temea mate chini mkuu ingawa mi siungi mkono uaguzi,lakini omba yasikukute kwa wanoamini mbona unamfuata bila kujijua unasahau hata kama ni mchafu,kama unashida hapo hata akikwambia umlambe utafanya hivyo na utamwona kam ice-cream siku hiyo,mkuu achana na kitu shida isikie kwa mwingine isikukute wewe live.
 
Back
Top Bottom