Karibuni, sasa hivi tumeboresha kazi yetu>>>>>>>>

Karibuni, sasa hivi tumeboresha kazi yetu>>>>>>>>

Haijawa embed wala chungwad, shida yako wewe huna macho ya kiroho. Hapo inaelea hewani kimazingara. Chezea babu wee!

Yeye hajamuona huyu jamaa anayeangaika kutafuta network.
351.jpg
 
kama wale mashifu wa kichina wanaopindisha vitu kwa kuviangalia tu...

We watu8 em acha kumuaibisha baba wa watu,unataka akose soko,wakati hiyo ni laptop yake kabisa,ila kaigandisha tu hapo kwa sayansi yake.
 
Back
Top Bottom