Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,327
Ndio mkuuWakienyeji!?? [emoji39]
Ok, hapo sawa, [emoji3]Ndio mkuu
Ayo yako wewe Umesema!Ukaona sisi ni washamba wa kula viuku
Pamoja mkuu karibu sanaOk, hapo sawa, [emoji3]
Kila la kheri kwako mkuuIla mie muumini wa kitimoto kuliko "kokoliko"
Asante sana mkuu ila kwenye nyama kuku kinacho nivutiaga sana ni mapaja tu [emoji1]Pamoja mkuu karibu sana
Dah umekosea hii ina uzi wake maalum kule jukwaa la madikodiko
Hii comments na hii post, uliotuma na hiyo username yako sishangai mkuu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Pouwa pouwa mkuu nimekusoma.Dah umekosea hii ina uzi wake maalum kule jukwaa la madikodiko
Tamu ipi?Hii comments na hii post, uliotuma na hiyo username yako sishangai mkuu.